Hivi huwa yana kazi gani?

Hivi huwa yana kazi gani?

Hahaha.......wengi tuliozaliwa mwaka 47, kwasasa yamegoma kuota

Tumebaki na za kichwani tu 😜

Raha ya hizo nywele, unyolewe na mwenzi wako. Babu anamnyoa Bibi, then Bibi anamnyoa Babu

Kabla hamjaanza kusafishana, mnapiga kimoja

Mkimaliza, mnapiga cha pili

Bora tumezeeka sasa 🤗
Yangu tu nayaonea uvivu sa ya mtu ntayaweza 😂😂😂
 
Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral explanation???

Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire 😏😏😏

(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
Mtazamo wangu yana umuhimu mkubwa hasa kwa mwanamke, yanasaidia kulinda nyeti magonjwa nyemelezi hayawezi kukufika kwa urahisi, kwa wanaume tuyanyoe.
 
Hiyo iliniuma sitaki kurudia tena 😹😹😹
Nilijimix ikaingia kwenye mashavu ndani weeehh nilikiloweka kwenye maji kwanza kipoe, km viwembe vimepita…!!

Niliapa sirudii tena.. 🤣
Mimi kitu cha kunipa maumivu hapana
😂😂😂😂😂😂
Mie niliwahi tumia, jamani sio kwa kuwasha kule, mda wote nakuna hadi nikawa nachukia sasa.

Ila natumiaga mara chache, nikichoka Shaver kutumia. Ila harufu yake mbayaa.
😂😂😂😂😂
 
cocastic huyu ndo mumeo sasa 😂

Halafu kuna ujumbe wako amenipatia nikufikishie, palipo na utulivu utaniita nikufikishie.

Au kama ni hapahapa pia utaniambia.

Khalas 😂
We kichwa,😃🙌
Gy7_didXAAAqRua.jpeg
 
Back
Top Bottom