Hivi huwa yana kazi gani?

Hivi huwa yana kazi gani?

Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral explanation???

Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire 😏😏😏

(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
Yachome moto hutoyaona tena. Mimi nilifanya hivyo saivi nishasahau kama kuna vitu kama hivyo
 
Alafu wakati wa kuota hua panakwangua utadhani ni msasa ule namba 40😆
Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral explanation???

Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire 😏😏😏

(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
 
7e4vrs.jpg
 
Acha tu, ila kazi yao ngumu 😂

Kuna siku niliandika uzi wa "Je, vinyama vina ladha tofauti" wakaka wakatiririka kwamba vipapa vina sura na ladha tofauti. Si nikaenda kugoogle sura za vipapa, mimi mwenyewe niliweweseka mwanakwetu 😆😆😆
Kwahiyo shemeji yako kanidanganya kasema vyote sawa, hawezi kutoka nje wakati cha nje na cha ndani ni same 😥😹😹
 
Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral explanation???

Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire 😏😏😏

(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
mm na huduma iyo mkuu naomba tender ni mobile nakufata ulipo....""""
 
Kwa hizi comment za huu uzi tarehe 29 tutawatanguliza wote mstari wa mbele mle za kichwa.😂😂
 
Back
Top Bottom