The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kwahiyo hii ni mada ya kujadili Mazivu au mimi ndio nipo nje ya mada au mada ndio ipo nje yangu?
Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral expression???
Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire
kwa majibu haya, akianani naamini wewe ni man!Aaaah kmmk
HapanaSema bhn ili tukushauri
Si umeona mwenzio kaomba ushauri kuhusu mavuziii😂😂
sasa hi pimbi maji inajaribu kusema nini?Hapa kwenyewe mie niko na chanuo nayachana ya wife kwa kuyavuta juu basi anatabasamu mpaka usingizi umchukue wallah
kumbe hata wewe unajua huyu ni bro(mwanaume)?Yachome moto bro, yasikusumbue
inaonekana huyu pimbi aliyeweka hii picha ni punguani, kmmk zake, msng yeye.Yapo kama haya?
View attachment 3477967
Hutoa ulinzi wa kimwili ''physical protection'' kwa sehemu za siri kutokana na msuguano na majeraha,husaidia kudhibiti hali joto kwa kutoa jasho na hufanya kama kizuwizi dhidi ya bacteria na viini vya magonjwa ''barrier against bacteria and pathogens''Kwa kweli mavuz sjui yaliwekwa kwa makusudi gani
Tukubaliane tu kuwa huna akili timamu kabisa mkuuHivi kuna kitu cha thamani katika uchi wa Mwanamke kama mavvzi? Mimi nilimwambia Mke wangu siku akipunguza tu sio kunyoa....Hakika atarudi kwao
Na kwanini yakaitwa mavooz 😁🤌Kwa kweli mavuz sjui yaliwekwa kwa makusudi gani
Kwani nani kakuambia mi woman, hayo matusi blazakwa majibu haya, akianani naamini wewe ni man!
Naskia inauma lakini, we huogopiSiku unaenda kufanya waxing nishtue twende wote
Mods waondoe uzi hauna picha umejaa maelezo tu 😁😁Lakini si tulikubaliana kapicha bila chai ni uzi Evelyn Salt
(Jokes)
Sasa kazi yake ni nini yani kwanini yalikuwepo jamani, mi yananichosha mnooEvelyn Salt ukweli ni kuwa mavz ni kama kucha. Yakiota lazima yanyolewe kama unavyokata kucha zikiota. Kwa mwanadamu ambaye hayanyoi huwa yakichanganyikana na jasho huleta harufu ya uvundo katika mapaja na kunuka kikwapa.
Mwanaume au mwanamke asiyenyoa ni mchafu TU.
Hivi unakumbuka uwoya mvuto na heshima yake vilipotea clip zake za Siri zilipovuja akiwa na mavzzz!