Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Picha iko wapi sasaKatika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral expression???
Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire 😏😏😏
(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
Picha iko wapi sasa ya hiyo mvvvz!Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral expression???
Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire 😏😏😏
(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
No isingenogaBora tungebakiaga tu vipara kama watoto wadogo!
Why?No isingenoga
Isingekuwepo kbs tungetamani iwepo kuwe na utofauti na watoto wadogo. Halafu wengine tunapenda wanawake wawe nazo kwa wingi sanaWhy?
Duuuh balaa Hilo!Isingekuwepo kbs tungetamani iwepo kuwe na utofauti na watoto wadogo. Halafu wengine tunapenda wanawake wawe nazo kwa wingi sana
Naww Mwarabu? Ukute Dada yangu weweMimi ninayo yale ya kishombe shombe aisee km kichaka cha mbudu 😹😹😹
Ukinyoa leo baada ya week yamejaa, nilijaribu waxing weeehh liliumuka km limetiwa amira..!! Km kuna dawa ya kusitisha yasiote hata mwaka wadau waeke yanakera..!! 😥😹
Balaa tamuDuuuh balaa Hilo!
Make a surrounding skin soft and pliable.Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral expression???
Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie mahali nitaenda, hivi wax haiumi???. Agrrrrrr nikinyoa na shaving cream siku yakiota ni magumu kama steel wire 😏😏😏
(Jukwaa la jokes ila ni serious issue)
Waongo hamna ambayo ni painless. Chezea kuchomoa nywele from the root wewe🤣🤣.Wanavyosemaga kuna painless uwa ni waongo?
Una dada wakinga? 😹Naww Mwarabu? Ukute Dada yangu wewe
Hapana, mimi sinaUna dada wakinga? 😹
Wanyamwezi?Hapana, mimi sina