Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Nafikir anachoongea mleta mada hapa ni kikubwa zaid ya hiti.Bahati ya mtu usiilalie mlango wazi!
Hapo kwenye watu wengi ongezea kuwa n watu wengi wasio na manufaa kwa raisVijana wengi wanaopewa madaraka wanakosa hekima na (utu). Rais kazungukwa na watu wengi aangalie mshauri sahihi
Yule Magoti ni miongoni mwa takataka alizoziacha jiwe. Mama imemchukuwa muda kubaini kuwa hii taka ipo ikulu na inakula posho kama mshauri. Alipoibaini kaifagilia mbali, akahangaike na vyoo vya wanafunzi hukoMuulize aliyekuwa akishauriwa ndani ya miaka 3!
Hana vigezo kwa sababu zipi? Angeelezea tukamuelwaNafikir anachoongea mleta mada hapa ni kikubwa zaid ya hiti.
Bahati ya mtu versus maslahi ya taifa obviously bahat ya mtu haipaswi hata kufikiriwa mara 2.
Huyu magoti hata kuwa mshauri wa mwenyekiti wa mtaa tu hana vigezo hivyo
Yeye katumia kigezo cha umri. Na kwa haraka haraka kina make sense.Hana vigezo kwa sababu zipi? Angeelezea tukamuelwa
Yeye ameandika kwa mhemko na mimi nimemjibu kwa mhemko
Ameeleza kuwa hajawahi kuwa hata mwenyekiti wa mtaa, sasa huo ubobevu wa kumshauri rais kuhusu siasa kautoa wapi huyu Magoti?Hana vigezo kwa sababu zipi? Angeelezea tukamuelwa
Yeye ameandika kwa mhemko na mimi nimemjibu kwa mhemko
Kabisa, Magoti ni moja kati ya solid waste za jiweYule Magoti ni miongoni mwa takataka alizoziacha jiwe. Mama imemchukuwa muda kubaini kuwa hii taka ipo ikulu na inakula posho kama mshauri. Alipoibaini kaifagilia mbali, akahangaike na vyoo vya wanafunzi huko
Mnatukandamiza vijana mkidhani hatuwezi! Wazee mnaowapa nafasi wanawasaidia nini zaidi ya kutuibia?Yeye katumia kigezo cha umri. Na kwa haraka haraka kina make sense.
Unanipa raha sana wewe binti na kujioona mwenye bahati sana kuwa na wewe .maana wewe siku zote ni mtu wa hoja nzito nzito tu kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi. Ndio maana unapendwa na kila mtu humu jukwaani kama pesa. Imefika wakati wengine hadi wanalilia like zako eti kwanini huwapi wao unanipa mimi tu wakati wao wanaandika hadi makala za kimataifa.nami nawaambia wasubiri wakimataifa waje wawape like lakini mimi waniachie ephen wangu.Bahati ya mtu usiilalie mlango wazi!
Hili dongo limfikie G4N popote alipo😂Unanipa raha sana wewe binti na kujioona mwenye bahati sana kuwa na wewe .maana wewe siku zote ni mtu wa hoja nzito nzito tu kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi. Ndio maana unapendwa na kila mtu humu jukwaani kama pesa. Imefika wakati wengine hadi wanalilia like zako eti kwanini huwapi wao unanipa mimi tu wakati wao wanaandika hadi makala za kimataifa.nami nawaambia wasubiri wakimataifa waje wawape like lakini mimi waniachie ephen wangu.
Yule sio mastermind wanaokaa ikulu wengi wanalelewa ili kukua kisiasa ila sio magwiji kama ulikuwa hujui..Makamba alishakaa hapo na kasepa hata Togolani Mavura kashasepa alikaa hapo enzi za kikwete .Kwa hiyo nchi ilikuwa inamlipa mshahara "geresha"
Magu miaka 6, Samia 3 yupo sawa nawe!Yule Magoti ni miongoni mwa takataka alizoziacha jiwe. Mama imemchukuwa muda kubaini kuwa hii taka ipo ikulu na inakula posho kama mshauri. Alipoibaini kaifagilia mbali, akahangaike na vyoo vya wanafunzi huko