Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

Nafikir anachoongea mleta mada hapa ni kikubwa zaid ya hiti.
Bahati ya mtu versus maslahi ya taifa obviously bahat ya mtu haipaswi hata kufikiriwa mara 2.
Huyu magoti hata kuwa mshauri wa mwenyekiti wa mtaa tu hana vigezo hivyo
Hana vigezo kwa sababu zipi? Angeelezea tukamuelwa
Yeye ameandika kwa mhemko na mimi nimemjibu kwa mhemko
 
Kwa akili yako unafikiria magoti pekee ndio mshauri? Wapo washauri kibao pale Lumumba inawezekana hao wa ikulu ni geresha tu , wapo weny nguvu kuliko unawaona wanazunguka .
Kwa hiyo nchi ilikuwa inamlipa mshahara "geresha"
 
Bahati ya mtu usiilalie mlango wazi!
Unanipa raha sana wewe binti na kujioona mwenye bahati sana kuwa na wewe .maana wewe siku zote ni mtu wa hoja nzito nzito tu kama Kimondo cha Ndolezi Mbozi. Ndio maana unapendwa na kila mtu humu jukwaani kama pesa. Imefika wakati wengine hadi wanalilia like zako eti kwanini huwapi wao unanipa mimi tu wakati wao wanaandika hadi makala za kimataifa.nami nawaambia wasubiri wakimataifa waje wawape like lakini mimi waniachie ephen wangu.
 
Hili dongo limfikie G4N popote alipo😂
 
Yule Magoti ni miongoni mwa takataka alizoziacha jiwe. Mama imemchukuwa muda kubaini kuwa hii taka ipo ikulu na inakula posho kama mshauri. Alipoibaini kaifagilia mbali, akahangaike na vyoo vya wanafunzi huko
Magu miaka 6, Samia 3 yupo sawa nawe!
 
Aliyekwambia kuwa ukiwa na umri mkubwa ndio unakuwa na ujuzi mkubwa au busara ni nani mbona hata masela, majizi, mafisadi huwa wanazeeka.
 
Back
Top Bottom