Orodhesha!Kwa hiyo madhara hujayaona!
Hata nikiorodhesha na huo upofu utaona kweli!Orodhesha!
Hii " ni very humble guy" sijui ndio nini sasa.Mkuu umeanza kumjua magoti lini? Pale ikulu yupo muda mrefu...ni very humble guy...labda umemjudge kwa kuangalia physical appearance...Ni mtu muhimu sana kwa Taifa hili...na popote alipo yupo tu kimkakati...
Wala usipoteze muda mahaba ni mengi!Hata nikiorodhesha na huo upofu utaona kweli!
Acha uongo wako huyo magoti alikuwa mwajiriwa wa ccm idara ya uenezi makao makuu.Sidhani kama wewe ni mfatiliaji mzury wa haya mambo magoti si wa Leo au Jana pale ikulu ni WA MDA mrefu pia amefanya kazi na mwanakwenda , kiufupi tunaitaji watu tofauti kuleta na kuchochea mambo tofauti tofauti na siasa Ina mambo mengine hujui alikuwa ana mshauri katika eneo gani mkuu kuwa kiongozi katika eneo flani haitegemei hapo awali ulikuwa na cheo gani kama ulivyo sema hakuna ana mwenyekiti wa shina nk
Kumbe humfahamu Magoti aiseeNimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu.
Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo Pinda, Sumaye, Mzee Makamba, Paul Kimiti na wengine wengi kweli Rais anachaguliwa Magoti ambaye hajawahi kugombea hata uenyekiti wa mtaa au kijiji ili akaifahamu siasa kuanzia saiti?
Rais Samia awe anawakataa wasaidizi wengine, asikae nao kwa sababu ya hali zao na huruma tu. Hawa akina Magoti ndio wale wanageuka kuwa madalali wa kumkutanisha Rais na watu.
Nilisikia hata muuza madafu anasema alilipwa na Magoti fedha nyingi ambazo hajawahi kuziona kwa kuuza baskeli chache tu za madafu, sasa hizo nyingi ni nfapi, na kwa nini muuza madafu azione nyingi kuliko mzigo aliouza, na wangapi wanalipwa nyingi, na kwa nini.
Kwa hesabu zozote zile, Magoti is too juniour kumshauri Rais kuhusu siasa, badala yake Rais ndiye anaweza kumshauri Magoti kuhusu siasa. Samia ameogelea katika bahari kuu ya siasa na anagajua mapapa na nyangumi yanayoishi latika bahari kuu ya siasa.
Mh. Rais, usiishie kwa Magoti tu, piga chini wengine wengi ambao "hawajaiva" kumshauri Rais
NitarudiHuu upendo uliopo kati yenu ephen_ na Lucas Mwashambwa siyo wa kiwango cha dunia hii. Nimetoa kila aina ya ahadi za zawadi ikiwemo hifadhi ya Katavi lkn bado sifanikiwi kuivunja hii bond Huyu Lucas sijui kakupa nn?
Nadhani njia iliyobaki ni kuongea na moderators wapige ban ya maisha ID mojawapo ili mpotezane.
Wakuelewe kwa hili acha wakae wakijiaminisha wanavyohisi.Kwa akili yako unafikiria magoti pekee ndio mshauri? Wapo washauri kibao pale Lumumba inawezekana hao wa ikulu ni geresha tu , wapo weny nguvu kuliko unawaona wanazunguka .
Exactly..Ingawa sitaki kusema sio sahihi, ila najua Kuna kitu kinaitwa ofisi ya ushauri kwa Rais maswala ya siasa. Hii ni ofisi yenye watumishi wa Kila namna na wote hujulikana ofisi ya Rais maswala ya siasa. Kama zilivyo ofisi zingine za ushauri kwa Rais. Sina hakika kama yeye ndio alikua in charge Bali alikuwa katika team ya maofisa
Hatamimi nilikuwa sikuzote nafahamu mshauri wa Mambo ya Siasa wa Rais ni Mzee Bulembo huyo Magoti ndio nimejua juziKwa akili yako unafikiria magoti pekee ndio mshauri? Wapo washauri kibao pale Lumumba inawezekana hao wa ikulu ni geresha tu , wapo weny nguvu kuliko unawaona wanazunguka .
Wajiandae tu kuwekewa sumuMuache DC Magoti.
Maandalizi ya mapokezi yake yanafanyika Kisarawe.
New DC in town. Karibu Mh. Petro Magoti.