Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

Magoti anehitimu pspa 2014 na akina tema tema. Ni mwanafunzi makini wa Dr bashiru.

Alikuwa mwanaccm. Angevaa kijani pekeake coet kwenye foleni ya msosi.

Magoti ni kichwa hasa, Kwa kuwa wengi humu hatuwapendi CCM basi na magoti mwanaccm.

Alikuwa kiongiz tawi la ambiance na seneti.

Aliyemuingiza CCM makao atakuwa nape na makamba kipindi Cha 2011 akiwa chuo na kipindi hicho jalalani ilikuwa chadema yote isipokuwa wachache viongozi wa daruso wengi wao ni viongozi nk.

Alikuwa depo lililofanyiwa usaili TEW April.
 
Mkuu umeanza kumjua magoti lini? Pale ikulu yupo muda mrefu...ni very humble guy...labda umemjudge kwa kuangalia physical appearance...Ni mtu muhimu sana kwa Taifa hili...na popote alipo yupo tu kimkakati...
Hii " ni very humble guy" sijui ndio nini sasa.
 
Sidhani kama wewe ni mfatiliaji mzury wa haya mambo magoti si wa Leo au Jana pale ikulu ni WA MDA mrefu pia amefanya kazi na mwanakwenda , kiufupi tunaitaji watu tofauti kuleta na kuchochea mambo tofauti tofauti na siasa Ina mambo mengine hujui alikuwa ana mshauri katika eneo gani mkuu kuwa kiongozi katika eneo flani haitegemei hapo awali ulikuwa na cheo gani kama ulivyo sema hakuna ana mwenyekiti wa shina nk
Acha uongo wako huyo magoti alikuwa mwajiriwa wa ccm idara ya uenezi makao makuu.
Jiwe alipoingia na kuwa mwenyekiti akawa haivi na mangula sasa akamtumia huyo jamaa kumuondoa mangula ambapo huyo jamaa akamwekea sumu kwenye maji mzee mangula walipokuwa kwenye vikao vyao bahati nzuri mzee mangula hakufariki.
Baadae Magu akampa kama zawadi ya ajira ikulu kwenye ofisi yake binafsi (private office) alikuwa kama chawa hakuwa na cheo chochote pale Ikulu zaidi ya uchawa nashangaa hata mimi alivyoondolewa pale ikulu eti cheo chake ni mshauri wa rais siasa
 
Hum
Nimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu.

Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo Pinda, Sumaye, Mzee Makamba, Paul Kimiti na wengine wengi kweli Rais anachaguliwa Magoti ambaye hajawahi kugombea hata uenyekiti wa mtaa au kijiji ili akaifahamu siasa kuanzia saiti?

Rais Samia awe anawakataa wasaidizi wengine, asikae nao kwa sababu ya hali zao na huruma tu. Hawa akina Magoti ndio wale wanageuka kuwa madalali wa kumkutanisha Rais na watu.

Nilisikia hata muuza madafu anasema alilipwa na Magoti fedha nyingi ambazo hajawahi kuziona kwa kuuza baskeli chache tu za madafu, sasa hizo nyingi ni nfapi, na kwa nini muuza madafu azione nyingi kuliko mzigo aliouza, na wangapi wanalipwa nyingi, na kwa nini.

Kwa hesabu zozote zile, Magoti is too juniour kumshauri Rais kuhusu siasa, badala yake Rais ndiye anaweza kumshauri Magoti kuhusu siasa. Samia ameogelea katika bahari kuu ya siasa na anagajua mapapa na nyangumi yanayoishi latika bahari kuu ya siasa.

Mh. Rais, usiishie kwa Magoti tu, piga chini wengine wengi ambao "hawajaiva" kumshauri Rais
Kumbe humfahamu Magoti aisee
 
Huu upendo uliopo kati yenu ephen_ na Lucas Mwashambwa siyo wa kiwango cha dunia hii. Nimetoa kila aina ya ahadi za zawadi ikiwemo hifadhi ya Katavi lkn bado sifanikiwi kuivunja hii bond Huyu Lucas sijui kakupa nn?

Nadhani njia iliyobaki ni kuongea na moderators wapige ban ya maisha ID mojawapo ili mpotezane.
Nitarudi
 
Ingawa sitaki kusema sio sahihi, ila najua Kuna kitu kinaitwa ofisi ya ushauri kwa Rais maswala ya siasa. Hii ni ofisi yenye watumishi wa Kila namna na wote hujulikana ofisi ya Rais maswala ya siasa. Kama zilivyo ofisi zingine za ushauri kwa Rais. Sina hakika kama yeye ndio alikua in charge Bali alikuwa katika team ya maofisa
Exactly..
 
Kwa akili yako unafikiria magoti pekee ndio mshauri? Wapo washauri kibao pale Lumumba inawezekana hao wa ikulu ni geresha tu , wapo weny nguvu kuliko unawaona wanazunguka .
Hatamimi nilikuwa sikuzote nafahamu mshauri wa Mambo ya Siasa wa Rais ni Mzee Bulembo huyo Magoti ndio nimejua juzi
 
Back
Top Bottom