Hivi huyo Magoti, mshauri wa Rais kuhusu siasa, alikuwa na uzoefu upi wa mambo ya siasa? Mbona CCM ina manguli wa siasa jamani?

Mimi na ephen tulishaungana mioyo yetu. Kwa hiyo huwezi kututenganisha kwa hila tu.
 
Mumuacha Magoti apige kazi, mbona marehemu kateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilolo kumbe alishakufa
 
idadi ya wazee kama wapiga kura imepungua sana kulinganisha na damu changa. Acha magoti amshauri rais jinsi ya kutembea na vijana kupata kura zao after all wazee ni waaminifu kwa chama hawawezi kukengeuka sasa hivi. Bila Magoti huenda mama asingeenda kwenye tamasha la Harmonize.
 
Mnamsemea nani huyu ndugu zangu?
Leteni hata picha yake basi.
 
Huyo jamaa alikuwa mtu wa Tiss alikaa sana ndani ya chama kama wasaidizi wa viongozi mbali mbali baade akarudishwa ikulu, sio kila kitu mpaka uambiwe mtu alikuwa nani we jiongeze tu ni msaidizi wa raisi
 
Magoti alikuwa "Msaidizi wa Rais, Siasa" na sio "Mshauri wa Rais, Siasa". Sijui unaelewa tofauti?. Na kuhusu umri ni kweli Magoti ni mdogo maana aliishawahi kuwa mwanafunzi wangu enzi za kuitafuta elimu yake.
 
Lini utakuwa na akili?
 
Daah hii miamba ingetusaidia sana...ilikuwa kazi ya kuwapooza kidogo wakaenda nae kwa mwendo wa pole pale ikulu..ila wakafukuzwa kama wezi
 
Huyo magoti hata kujieleza hawezi hata huo ukuu wa wilaya nakupa muda utashangaa atatolewa
 
Rais hana mshauri mmoja wa mambo ya siasa ana watu wengi TU
Sema inategemea ni angle ipi anataka ashauriwe na nani na kwa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…