Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
CCM INA WAZEE WACHAWI SIJAWAI KUONA SURA ZAO UNAWEZA KUSEMA WANAISHI GEREZA LA WATU WASIO NA AKILIHao walioiva kipindi Cha utendaji wao walifanya nn Cha maana? Acha damu changa ziingie field
Hatamimi nilikuwa sikuzote nafahamu mshauri wa Mambo ya Siasa wa Rais ni Mzee Bulembo huyo Magoti ndio nimejua juzi
Muuaji namba moja kipindi cha magu! usione hicho kibiongo jamaa ni mubaya hatari! |Dracula mnyonya damuNimeshangaa kusikia Magoti ndiye alikuwa anamshauri Rais kuhusu siasa. Nikimuangalia ni kama ana umri wa miaka thelasini hivi, yaani mtoto tu, na ndio maana mwanzo nilidhani ni mhudumu au afisa wa kawaida tu pale ikulu.
Hivi katika "msitu" wa wazee waliokomaa kisiasa kama Steven Wasira, Mizengo Pinda, Sumaye, Mzee Makamba, Paul Kimiti na wengine wengi kweli Rais anachaguliwa Magoti ambaye hajawahi kugombea hata uenyekiti wa mtaa au kijiji ili akaifahamu siasa kuanzia saiti?
Rais Samia awe anawakataa wasaidizi wengine, asikae nao kwa sababu ya hali zao na huruma tu. Hawa akina Magoti ndio wale wanageuka kuwa madalali wa kumkutanisha Rais na watu.
Nilisikia hata muuza madafu anasema alilipwa na Magoti fedha nyingi ambazo hajawahi kuziona kwa kuuza baskeli chache tu za madafu, sasa hizo nyingi ni nfapi, na kwa nini muuza madafu azione nyingi kuliko mzigo aliouza, na wangapi wanalipwa nyingi, na kwa nini.
Kwa hesabu zozote zile, Magoti is too juniour kumshauri Rais kuhusu siasa, badala yake Rais ndiye anaweza kumshauri Magoti kuhusu siasa. Samia ameogelea katika bahari kuu ya siasa na anagajua mapapa na nyangumi yanayoishi latika bahari kuu ya siasa.
Mh. Rais, usiishie kwa Magoti tu, piga chini wengine wengi ambao "hawajaiva" kumshauri Rais
Wengine wanapelekwa pale kwa ushirikina na rushwa kusaidia mambo ya wafanyabiashara wakwepa kodi na mafisadiVyeo vinapatikana Kwa connection halafu mnataka mpate positive results, mitaani huku wapo watu wengi sana serious shida ni mifumo.
Hana uzoefu wa kushauri ngazi kuu ya taasisi ya Urais.
Wenzetu kule kasome CV ya Condoleeza Rice kabla ya kuwa mshauri wa mambo ya nje wa Marekani. Kwanza alikuwa mhadhiri chuo mambo ya kimataifa, kasoma ana elimu imelala pale, kasoma hadi Urusi pale Moscow State University ajue lugha yao kidogo. Kafanya kazi Foreign Affairs uko Europe kipindi ukuta wa Berlin unaanguka na Soviet Union inavunjika. Baadae ndio akapanda vyeo na kuwa mshauri wa Rais Bush. CV inaeleweka.
Njoo kwa Foreign Minister wa Urusi, Sergey Larvrov, huyu CV imeshiba vilevile. Huyu anajua lugha wanayozungumza Sri Lanka wakati ni lugha ndogo sana.
Sasa njoo bongo, mshauri wa Rais kisiasa hajawahi kuwa hata class monitor. Hata ukimpa uongozi wa kwaya inavunjika
Kazi yakr ilikuwa kuwawekea watu sumu tu.Huyo magoti hakuwa na cheo chochote pale ikulu hii nchi ina mambo ya ajabu sana
YametimiaMkuu bado wewe hujaelewa subiria muda utasema
Mwenye macho ambiwi tazamaYule Magoti ni miongoni mwa takataka alizoziacha jiwe. Mama imemchukuwa muda kubaini kuwa hii taka ipo ikulu na inakula posho kama mshauri. Alipoibaini kaifagilia mbali, akahangaike na vyoo vya wanafunzi huko
Mwenye macho ambiwi tazamaYule Magoti ni miongoni mwa takataka alizoziacha jiwe. Mama imemchukuwa muda kubaini kuwa hii taka ipo ikulu na inakula posho kama mshauri. Alipoibaini kaifagilia mbali, akahangaike na vyoo vya wanafunzi huko
Naam!Mkuu umeanza kumjua magoti lini? Pale ikulu yupo muda mrefu...ni very humble guy...labda umemjudge kwa kuangalia physical appearance...Ni mtu muhimu sana kwa Taifa hili...na popote alipo yupo tu kimkakati...
Magoti zaidi ya haya ulivyosema mkuu.Magoti anehitimu pspa 2014 na akina tema tema. Ni mwanafunzi makini wa Dr bashiru.
Alikuwa mwanaccm. Angevaa kijani pekeake coet kwenye foleni ya msosi.
Magoti ni kichwa hasa, Kwa kuwa wengi humu hatuwapendi CCM basi na magoti mwanaccm.
Alikuwa kiongiz tawi la ambiance na seneti.
Aliyemuingiza CCM makao atakuwa nape na makamba kipindi Cha 2011 akiwa chuo na kipindi hicho jalalani ilikuwa chadema yote isipokuwa wachache viongozi wa daruso wengi wao ni viongozi nk.
Alikuwa depo lililofanyiwa usaili TEW April.
Naunga mkonoNi kachero that's why