Mwanaume lazima afikirie watoto wake.Kwanini mnapenda kusingizia watoto?
Kwani hizo biashara haziingizi tena ela? Au ni biashara ya forex?
unachokisema kina ukweli but kupost mtandaon sio solution tumeshajua ubaya wa kileo je ndio atatoa hela ya matumizi?Ilibid Joyce apambane kwa namna yoyote wanandugu,marafiki,wazazi ,wasimamizi wa ndoa,viongozi wa dini Na chama sidhani Kama hawa wote wameshindwa kusuluhisha!Anachofanya sio busara lakini huwezi jua inaweza kuwa anahisi hasipoweka sababu za kuachana kwao hadharani basi watu wa siasa wanaomuhusu mumewe watakuja kupotosha ukweli na kumshambulia yeye ndio kimeo ana makosa na vitu kama hivyo.
Ambavyo kwa mtazamo wake vitagawa shabiki wake na kumharibia biashara zake.
Siyo KAUZU ndiyo UANAUME huoJamaa kauzu balaa na mapigo yote ya upande wa pili hajajibu chochote tu?
Wewe unauliziaga hela za mkeo?Ila joi pesa ya kujirusha peke yake anayo kununua chakula kwa watoto hadi kileo asaaini?
Za kuambiwa changanya na zako.Mbona mwanzo dada joi alisema alikuwa anasimamia show zote hata matunzo ya jamaa leo imekuwaje kileo amekuwa mbahili na pesa katoa wapi wakati mtunzaji ni supawumeni?
Ha haa sawa mkuuKama unahela zako na bado unalelewa wewe ni mario tu.
Sina huo muda kwanza najua zangu ni zetu na zake ni zake tu hata iwejeWewe unauliziaga hela za mkeo?
Sasa ndo umeshauri nn hapo? Wahaya buana!Sisi wahaya huwa tukifikisha umri wa kuoa wazazi hasa mama zetu huwa wanatukalisha chini na kutuhasa kamwe tusioe mwanamke mchagga au mmachame uwa wanatwambia mabaya na madhaifu yao mengi kwenye ndoa ikiwemo hayo yanatokea kwenye familia ya kileo ndo maana ni Nadra sana kumuona muhaya achana na hawa wahaya wasiopajua bukoba,huwezi kukuta kamuoa mtu wa makabila haya....those people are too selfish..!!
una uhakika kilewo alikuwa analelewa au unasikiliza maneno ya mkewe?Nimeanza na kusema 'huyu mwanamke anakosea'.......sasa hapa ndio inabidi mwanaume aoneshe tofauti yake na huyu mwanamke. Wagawane mali gani na huyo alikuwa analelewa tu. Mali za huyo dada mropokaji. Ukikubali kulelewa kuwa mpole.
Haya mambo tuulize sisi tuliomo kwenye ndoa, tunawajui vuema wanawake wa Kitanzania hasa hawa washamba kama huyo Joyce.Mwanaume lazima afikirie watoto wake.
Sasa mkuu kummbe jibu unalo.Sina huo muda kwanza najua zangu ni zetu na zake ni zake tu hata iweje
Hivi umesoma alichoandika ukamuelewa??Mhh!mbombo ngafu!Ila Joyce hizo ni siri za ndani na familia yako kwa ujumla hukupaswa kupost huko Insta.Suala kama hili ulipaswa mlimalize kifamilia,je hamna wazazi?ndugu jamaa na marafiki? Unachokifanya ni kujianika kwenye public ambayo kimsingi haina msaada kwenu zaidi ya kukucheka na kukuhurumia kinafiki.
Mumeo hata kama amekosea hukupaswa kuja kulalamika insta,kila mtu akileta matatizo yake insta ndoa nyingi zisingekuwepo.Kama unaona imefika mwisho ni bora uachane naye ,ingekuja tu stori Joyce kaachana na Kileo basi but kwa unachokifanya unajidhalilisha wewe mwenyewe na mumeo!
But pole kwa yote magumu unayopitia tafuta njia sahihi za kumaliza tatizo lenu na sio Instagram.
Una haki ya kuongea chochote lakini amini nakuambia sijawai kuwa domo zege katika maisha yangu sababu wanawake nimekuwa nikiwapenda tokea nabarehe pia I was like a movie star in my teenage
Suala la kupitia magumu sio jepesi kama ulivyosema coz kila mtu anapitia magumu katika muktadha wake
Mimi sijajibu upupu bali nimetoa tathmini yangu kwa kuhusisha tukio zima na social behavior ya kabila husika (sijalahumu) bali nimesema "they have been raised that way"
You're betting that 90% who comments negatively are in troubled relationships and you forgot that this is a open forum hahahaha
Jamaa ana moyo au mwanamke ndio ana moyo..?kweli si kila mtu anaweza kuwa babaJamaa Ana moyo mi ningeshapiga chini fasta hili dubwassha
Wewe unaonaje?una uhakika kilewo alikuwa analelewa au unasikiliza maneno ya mkewe?