Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Ukiyasoma haya Maelezo, yanaonesha ka Joyce kaanaonewa,halafu LiKilewo ni Janaume janja janja lenye mabavu ambalo,linakajanjika haka KaJoyce kenye upendo wa dhati na wala hakana kosa lolote,Hivyo kanaomba kasaidiwe kuzirudisha biashara na Mali zote,ambazo kimsingi ni za Kwake,Litokee Dubwana lenye miguvu likasaidie haka kadada kapole na kanako onewa namna hii, nimejaribu kufanya muhutasari tu,
 
wachaga wamekutana ....kazi ipo l!!!! by the way kamanda kilewo nae anazingua mambo gani hya anafanya ya kitoto .ahudumie watoto aachane na drama za hyo mwanamke atunze familia
 
Ukweli mchungu,tatizo wabongo hampendi kuambiwa ukweli.

Kwa nini aambiwe leo baada ya kulelewa 8yrs? Hata punda huchoka mazee,ni fedheha kujiita kamanda halafu kumbe unalelewa na mwanamke.
 
Kwa haya majibu nimepata identity ya wewe ni mtu wa design gani. Enjoy the brezee
hahahahah wanaume wote madomo zege,insecured na wanaopitia magumu kwenye ndoa zao,ndio lazima 'mumsulubu' dada wa watu mtandaoni,...hahaha mnachekesha..... ukweli,kama umejibu upupu kwenye hii mada naomba mjiassess mahusiano yenu yakoje?? I bet 90% of you are in troubled relationships....take it easy!.....
 
Mkuu utanisahihisha hapo mwanzo dada joi alisema mumewe hana kitu yeye ndie msimamiaji wa show
Lakini uzi huu naona dada joi analalamika na kukiri jamaa amefungua kampuni yake + huwa anatoa pesa kisiri siri + mishe zake za pesa na biashara ni siri sana
Sasa kaka angu na kamanda wangu kileo bado ni Mario?
Kama unahela zako na bado unalelewa wewe ni mario tu.
 
hahahahah wanaume wote madomo zege,insecured na wanaopitia magumu kwenye ndoa zao,ndio lazima 'mumsulubu' dada wa watu mtandaoni,...hahaha mnachekesha..... ukweli,kama umejibu upupu kwenye hii mada naomba mjiassess mahusiano yenu yakoje?? I bet 90% of you are in troubled relationships....take it easy!.....

Una haki ya kuongea chochote lakini amini nakuambia sijawai kuwa domo zege katika maisha yangu sababu wanawake nimekuwa nikiwapenda tokea nabarehe pia I was like a movie star in my teenage

Suala la kupitia magumu sio jepesi kama ulivyosema coz kila mtu anapitia magumu katika muktadha wake

Mimi sijajibu upupu bali nimetoa tathmini yangu kwa kuhusisha tukio zima na social behavior ya kabila husika (sijalahumu) bali nimesema "they have been raised that way"

You're betting that 90% who comments negatively are in troubled relationships and you forgot that this is a open forum hahahaha
 
hivi nyie watu ni wajinga au?........joyce amesema mume wake amepata hela nyumbani hakuna kitu na bado hatoi hata shilingi moja na watoto wanateseka....sasa huyo ni mtu gani ambae hajali hata watoto wake...huyo kilewo ni mjinga sana anafaa acharazwe viboko
Mbona mwanzo dada joi alisema alikuwa anasimamia show zote hata matunzo ya jamaa leo imekuwaje kileo amekuwa mbahili na pesa katoa wapi wakati mtunzaji ni supawumeni?
 
hivi nyie watu ni wajinga au?........joyce amesema mume wake amepata hela nyumbani hakuna kitu na bado hatoi hata shilingi moja na watoto wanateseka....sasa huyo ni mtu gani ambae hajali hata watoto wake...huyo kilewo ni mjinga sana anafaa acharazwe viboko
Kiongozi weka heshima mbele ..
Unaweza kuongea bila kuleta maneno ya uchochoroni na ukaeleweka.

Kwa kifupi hatujui. Neither you nor me or anybody else has all the facts.. Its pre mature and crazy to think am stupid .kwasababu tu Nina mtazamo tofauti..

My kids will eat shit.ikiwa nadhani the money I have today if invested will benefit them a great deal tomorrow.. Na ndio maana tunakaa nao nyumba za kawaida ili waende shule nzuri.. Wanakula kawaida Ili wapate matibabu yauhakika.. Yote in sacrifice..ili kesho yao iwe bora.

Kama unadhani malezi nikutoa then go back ..talk to your parents again. You missed the whole point ya uzazi na ulezi.

Narudia hakuna mwanaume mjinga..that much. Angekuwa mtwara watoto wapo dar ningesema maybe.. .anawaona kila Siku?! Halafu wabakuwa hawali!!! Na yeye anapesa?!

Au ndio mama wqtoti kutaka makubwa watoto wapelekwe Shopping mliman city just because she think we have money!!? Ningekuwa mie mbona na kesi inarindima na matanga tushaanua muda huu.
 
Back
Top Bottom