Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Kosa lipo Kwa Joyce tangu wanaanza, kujiita mwanamke shupavu maana ulijibebesha majukumu yasiyo yako
 
Nimeanza na kusema 'huyu mwanamke anakosea'.......sasa hapa ndio inabidi mwanaume aoneshe tofauti yake na huyu mwanamke. Wagawane mali gani na huyo alikuwa analelewa tu. Mali za huyo dada mropokaji. Ukikubali kulelewa kuwa mpole.
Kwakua huyu jamaa ameonekana analazimisha abaki na mali zisizo zake, way out ni mahakama tu.
Sijajua kama kisheria kwakua mwanaume ulikua mario hiyo itasababisha usihesabiwe kwenye mgawanyo. Nitacheki nijue.
 
whichever way, bado anatakiwa arespond ili watu waweze kumwelewa
Makanyaga hii ndoa yao inatuhusu nini sisi, walipotongozana hawakutangaza na kutushirikisha ili tuwaelewe, hawa watu wafunge safari waende kwao uchagani wayamalize, maswala ya ndoa huwa hayamalizwi na wazibua, wasambaa...(makabila ya pwani) hayo makabila yanatatua matatizo yao wenyewe hukohuko pwani wakienda huko nyumbani watakutana na wazee watawakemea wote wawili na kuwakanya maana tabia hii ya kuachana imeshakuwa kama fashion kila mtu anajisikia kujitoa kwa mwenziye sasa wamejitambulisha nyumbani wakaoana kwanini, tayari mmoja ana historia ya kuwa huyo ndiye mume wa 2 je atatafuta 3 tena ampeleke nyumbani? hakunaga hayo huo mchezo ni wa kimjini wala chips mayai.
 
Type ya mwanamke kama huyu ni mzigo kwa mwaanamme tena wewe ungekuwa na Mimi ningeshakuweka kando muda mrefu,ni bora kuishi maisha ya kimasikini kuliko mwanamke wa dizaini hii ni mkosi.

Lukwafya
 
Nimeanza na kusema 'huyu mwanamke anakosea'.......sasa hapa ndio inabidi mwanaume aoneshe tofauti yake na huyu mwanamke. Wagawane mali gani na huyo alikuwa analelewa tu. Mali za huyo dada mropokaji. Ukikubali kulelewa kuwa mpole.
Mkuu utanisahihisha hapo mwanzo dada joi alisema mumewe hana kitu yeye ndie msimamiaji wa show
Lakini uzi huu naona dada joi analalamika na kukiri jamaa amefungua kampuni yake + huwa anatoa pesa kisiri siri + mishe zake za pesa na biashara ni siri sana
Sasa kaka angu na kamanda wangu kileo bado ni Mario?
 
Na huo ndio ukweli, chaga this,chaga that

hahahahah wanaume wote madomo zege,insecured na wanaopitia magumu kwenye ndoa zao,ndio lazima 'mumsulubu' dada wa watu mtandaoni,...hahaha mnachekesha..... ukweli,kama umejibu upupu kwenye hii mada naomba mjiassess mahusiano yenu yakoje?? I bet 90% of you are in troubled relationships....take it easy!.....
 
Huuu upuuzi wa mwanaume kugawana majukumu ya kuhudumia familia na mwanamke sijui aliuanzisha nani.
Dharau haziishi ndani.

Jukumu lote la family finances na well being ni BABA.

Hii kugawana ni vituko.Ndio mwanzo wa kudharauliana kama hivi.

Hela ya mwanamke hua ni yake alone,ya sisi Wababa ni ya familia yote!
 
Hawa akina Kilia na wenzao wanaojifanya wanaharakati wa kutetea haki za Wanawake mara nyingi hawadumu kwenye ndoa, ndio maana wake zetu wanapuuza harakati zao. Waendelee kuwa Ma-Single Mother tu na kumegwa kisela
 
Hivi huyu kilewo hajafanya jambo lolote jema kwa Dada yetu au maisha yao yote amekuwa mkaidi..

Wanawake ni watu wabaya sana hawakumbukagi wema wanachopenda kusema ni mabaya ya mwanaume tu...

Hapo sasa anataka tuamini kwenye hiyo ndoa yeye alikuwa right muda wote wa mahusiano ila jamaa ndio mzinguaji
Aisee hapa na wewe umekosea kufanya generalization "wanawake ni watu wabaya sana hawakumbukagi wema"!!! Si kweli mpendwa. Hii ni tabia tu ambayo yeyote aweza kuwa nayo.
 
Aisee hapa na wewe umekosea kufanya generalization "wanawake ni watu wabaya sana hawakumbukagi wema"!!! Si kweli mpendwa. Hii ni tabia tu ambayo yeyote aweza kuwa nayo.
Kweli mkuu nakiri hayo makosa ila naomba itambulike hivyo
 
Hapo hakukuwa na mapenzi kabisa.hapo ni pesa tu zinazoleta dhahama ya yote Haya
Amejikaanga mwenyewe kwa kukomalia point ya hela. Sasa mtu anatoa hela zake akatumie we unaanza visa aisee. So kila akienda ATM ampelekee risiti home kuwa katoa sh. Flani tarehe flani.

Kingine mpaka msela kuanza kumkazia ni vile yeye ameanza kiburi sasa kulipiziwa anaona kero nini hiki
 
Sisi wahaya huwa tukifikisha umri wa kuoa wazazi hasa mama zetu huwa wanatukalisha chini na kutuhasa kamwe tusioe mwanamke mchagga au mmachame uwa wanatwambia mabaya na madhaifu yao mengi kwenye ndoa ikiwemo hayo yanatokea kwenye familia ya kileo ndo maana ni Nadra sana kumuona muhaya achana na hawa wahaya wasiopajua bukoba,huwezi kukuta kamuoa mtu wa makabila haya....those people are too selfish..!!
Ila nyie ndo the worst mjue
 
HUYU MWANAMKE AMEKOSA SIFA YA UTII KAMA AMBAVYO MUME AMEKOSA AKILI. HVYO WOTE NI WAJINGA. KWA KUWA WOTE NI WACHAGA, WACHA TUTIZAME SINEMA.
 
Hata mimi nawashangaa hawa wanaoangalia upande mmoja tu! Joyce na Kilewo inaonesha wana joint account na hela hazitoki bila saini ya wote, mume kauchuna haweki saini watoto wana njaa!
Kwanini mnapenda kusingizia watoto?

Kwani hizo biashara haziingizi tena ela? Au ni biashara ya forex?
 
Back
Top Bottom