Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Anachofanya sio busara lakini huwezi jua inaweza kuwa anahisi hasipoweka sababu za kuachana kwao hadharani basi watu wa siasa wanaomuhusu mumewe watakuja kupotosha ukweli na kumshambulia yeye ndio kimeo ana makosa na vitu kama hivyo.
Ambavyo kwa mtazamo wake vitagawa shabiki wake na kumharibia biashara zake.
unachokisema kina ukweli but kupost mtandaon sio solution tumeshajua ubaya wa kileo je ndio atatoa hela ya matumizi?Ilibid Joyce apambane kwa namna yoyote wanandugu,marafiki,wazazi ,wasimamizi wa ndoa,viongozi wa dini Na chama sidhani Kama hawa wote wameshindwa kusuluhisha!
 
Tukisema Elimu, elimu, elumu huwa hatueleweki....!

Elimu inakuza ufahamu sana, sio mpaka ajira!!!!
 
Huyu dada anahitaji hekima ya Mungu mambo ya ndoa ni ya wawili na kama unasuluhisha lazima usikilize pande zote mbili lakin mmoja tena insta yumkini mume wake anabusara saana kuishi na kipepeo miaka nane8 si mchezo insta ndo mungu wake?
Ndo wadhamini wa ndoa? au ni kasisi aliyefungisha hiyo ndoa?
 
Mbona mwanzo dada joi alisema alikuwa anasimamia show zote hata matunzo ya jamaa leo imekuwaje kileo amekuwa mbahili na pesa katoa wapi wakati mtunzaji ni supawumeni?
Za kuambiwa changanya na zako.

Subiri Da Mange aamke saizi huko ndio anawamudu watu kama hawa tena ukichukulia Kileo ni mpare mwenzake wala haitaji mwaliko kwenye shughuli hii.
 
Sisi wahaya huwa tukifikisha umri wa kuoa wazazi hasa mama zetu huwa wanatukalisha chini na kutuhasa kamwe tusioe mwanamke mchagga au mmachame uwa wanatwambia mabaya na madhaifu yao mengi kwenye ndoa ikiwemo hayo yanatokea kwenye familia ya kileo ndo maana ni Nadra sana kumuona muhaya achana na hawa wahaya wasiopajua bukoba,huwezi kukuta kamuoa mtu wa makabila haya....those people are too selfish..!!
Sasa ndo umeshauri nn hapo? Wahaya buana!
 
Nimeanza na kusema 'huyu mwanamke anakosea'.......sasa hapa ndio inabidi mwanaume aoneshe tofauti yake na huyu mwanamke. Wagawane mali gani na huyo alikuwa analelewa tu. Mali za huyo dada mropokaji. Ukikubali kulelewa kuwa mpole.
una uhakika kilewo alikuwa analelewa au unasikiliza maneno ya mkewe?
 
Mhh!mbombo ngafu!Ila Joyce hizo ni siri za ndani na familia yako kwa ujumla hukupaswa kupost huko Insta.Suala kama hili ulipaswa mlimalize kifamilia,je hamna wazazi?ndugu jamaa na marafiki? Unachokifanya ni kujianika kwenye public ambayo kimsingi haina msaada kwenu zaidi ya kukucheka na kukuhurumia kinafiki.
Mumeo hata kama amekosea hukupaswa kuja kulalamika insta,kila mtu akileta matatizo yake insta ndoa nyingi zisingekuwepo.Kama unaona imefika mwisho ni bora uachane naye ,ingekuja tu stori Joyce kaachana na Kileo basi but kwa unachokifanya unajidhalilisha wewe mwenyewe na mumeo!
But pole kwa yote magumu unayopitia tafuta njia sahihi za kumaliza tatizo lenu na sio Instagram.
Hivi umesoma alichoandika ukamuelewa??
 
Makubwa....


Kwa hiyo hapa jobu ni moja


Alivyoolewa alijua Kilewo ni mario...akakubali kubeba majukumu...


Uluona wapi mke anazaa kwa uchungu na kula kwa jasho

Hukumuacha apambane yeye kama yeye ahudumie familia


Matokeo jamaa akazoea slope

Te a inawezekana anakwambia biashara mbovu kumbe kuna mwenzio anahongwa


Na wewe kilowo hebu be a mana please

Nenda na mkeo benki jitoe kwenye akaunti zake

Ulispngeshe

Dume zima kung'ang'ania akaunti za mkeo inahusu?

Na mahaba niue yalikuponza joyce

Ulivyosikia mwiki mmoja ukadhani ni 'akaunti' moja eeeeh


Hayo unayopitia ni ya kawaida sana kwa wanawake wanaolea wanaume

Pambana na hali yako
 
Una haki ya kuongea chochote lakini amini nakuambia sijawai kuwa domo zege katika maisha yangu sababu wanawake nimekuwa nikiwapenda tokea nabarehe pia I was like a movie star in my teenage

Suala la kupitia magumu sio jepesi kama ulivyosema coz kila mtu anapitia magumu katika muktadha wake

Mimi sijajibu upupu bali nimetoa tathmini yangu kwa kuhusisha tukio zima na social behavior ya kabila husika (sijalahumu) bali nimesema "they have been raised that way"

You're betting that 90% who comments negatively are in troubled relationships and you forgot that this is a open forum hahahaha

hahahaha ni kweli ukiwa happy and content in ur r'ship huwezi ukapita ukitoa 'sumu' tu..kwa watu usiowajua..sana sana ungesoma na kupita,Tatizo mnadhania mnaweza kuficha personality zenu mbele ya ID fake,mnasahau mnayoyaandika ndio NYINYI halisi,na mnaweza kuwa distinguished kutokana na mnachoandika............

haha naona swala la udomo zege umelikwepa,ila umekiri unapitia 'ugumu' Fulani....hio inatosha kuconfirm my prediction....lol.............sasa naomba ufanye reseach privately,kwa wanaume wooote waliomponda dada wa watu....uone kama mahusiano yao yako imara?

bado na stick na 90% ya wanaume waliojibu upupu wako katika troubled relationship...lol
 
Back
Top Bottom