Duh. Sijui nani ni mbaya hapo?
Ila wanawake wengi ni wabinafsi na hawawezi kuvumilia kusapoti familia hata km anajua Mme wake yupo km hayupo. Kiuchumi. Wako radhi ukaibe ukabe nk ili mradi umpokee majukumu hayo huku yy asikubali kuchangia chochote.
Then ni waongo sana inapotokea ukajibu mapigo km jamaa alivyofanya.
Hii issue inafanania kwa mbali na yanayoendelea kwangu.
Wanaume huwa tunawapenda wake zetu sana na si watoto.
Na wanawake huanzisha yao huku wakitumia watoto km fimbo ya kukufanya uwe mtumwa kwake.
Mwanamke anayethamini pesa zaidi kuliko uhalisia wa maisha Huyo ni bure.
Nakumbuka nilishawahi kuambiwa " pesa zake si kwa ajili ya kunisaidia kunitunzia watoto wangu Bali ni kwa ajili ya starehe zangu"
Nami nikamjibu kuwa km ni hivyo naye aache kazi afanye majukumu ya nyumbani tu ya kunihudumia Mimi na watoto. Km hataki basi wote tutabeba huwo wajibu.
Wakati mwingine mnapangiana majukumu, yy anachagua kuwekeza kisha anakwambia ww ulishe familia. Wanawake wana akili sana, tena wengi zinawapeleka wasikokujua.
Mwisho wa Sikh akishaona nalengo ya kuwa na ww yametimia au hayaendi, utasikia ule ni mradi wangu hujawahi kuweka hata shilingi au hii NYUMBA baba ulichangia shillings ngapi? Nk.
Mwanamke anayependa sana vitu kuliko utu ni KICHOMI.
MIMI SIWEZI PATA PRESSURE KISA MKE.
NO BIG NO
Acha aseme hata yote hadi ya kitandani Huyo mwanamke ili apunguze stress. Lakini anajali pesa na kutimiziwa sex tu. Na si kweli kuwa anampenda Mme wake. Naona anahisia za mapenzi tu na si mapenzi ya moyoni.