RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Inategemea kama yeye ndio analipa kodi utarudi wewe Kolomije!Mama Gaude aandike meseji kama hii Instagram atarudi Njombe kwa miguu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea kama yeye ndio analipa kodi utarudi wewe Kolomije!Mama Gaude aandike meseji kama hii Instagram atarudi Njombe kwa miguu .
Ushauri mzuri kama hajachanganyikiwa ataufuata nami ninashauri afuate huuMhh!mbombo ngafu!Ila Joyce hizo ni siri za ndani na familia yako kwa ujumla hukupaswa kupost huko Insta.Suala kama hili ulipaswa mlimalize kifamilia,je hamna wazazi?ndugu jamaa na marafiki? Unachokifanya ni kujianika kwenye public ambayo kimsingi haina msaada kwenu zaidi ya kukucheka na kukuhurumia kinafiki.
Mumeo hata kama amekosea hukupaswa kuja kulalamika insta,kila mtu akileta matatizo yake insta ndoa nyingi zisingekuwepo.Kama unaona imefika mwisho ni bora uachane naye ,ingekuja tu stori Joyce kaachana na Kileo basi but kwa unachokifanya unajidhalilisha wewe mwenyewe na mumeo!
But pole kwa yote magumu unayopitia tafuta njia sahihi za kumaliza tatizo lenu na sio Instagram.
aitishe wazee wa upande wa mke na wakwake ayajibu huko sio mitandaoni,Kwa hoja hizi Kilewo anatakiwa arespond kuondoa shaka kuwa hasingiziwi
Wahaya wanawezana wenyewe kwa wenyewe maana kwa ngono hawajambo.Hata akiwa profesa tabia zake kwenye hio sekta hua ni zile zile kama za ambae hajasoma.Sisi wahaya huwa tukifikisha umri wa kuoa wazazi hasa mama zetu huwa wanatukalisha chini na kutuhasa kamwe tusioe mwanamke mchagga au mmachame uwa wanatwambia mabaya na madhaifu yao mengi kwenye ndoa ikiwemo hayo yanatokea kwenye familia ya kileo ndo maana ni Nadra sana kumuona muhaya achana na hawa wahaya wasiopajua bukoba,huwezi kukuta kamuoa mtu wa makabila haya....those people are too selfish..!!
Unaakili sana aisee kunywa maji baridiNimeelewa vitu viwili..hii ndoa ilikua ishafeli sasa jamaa alichokifanya ni kuacha kila kitu na kuhama nyumbani...sasa kinachotokea ni frustration za aina nyingi kwa mwanamke maana baba hayupo, gharama zimekua kubwa na jamaa si kuwa hayupo ila pia yupo kimya...ndio maana Joyce anaongea kila mahali maana anahitaji msaada ila hajui aupate wapi, na anaomba aachiwe biashara zake kama biashara nizake kwann aombe aachiwe? Hii ina maana kwamba hizo biashara kafunguliwa na mumewe...kwasasa sina cha kumshauri maana hataelewa...huyo kileo atakua anakaa lodge na hela si anayo ...atatafuta katoto kadogo kakutumbua nae..watoto wake watakua wanateseka mno ila kila akimkumbuka mke atakua anaenda mbali zaidi...natamani ningepata nafasi ya kuwashauri wote...tatizo kileo yupo kimya..hujui na yeye yamemsibu yapi...wanaume wana koromeo...poleni watoto poleni sana...nakaribisha PM kwa ushauri zaidi
Umesikiliza upande wa pili weka mizani ndipo utoe hukumu pengine kaamua tu kumzalilisha mwenza kisa kahama nymbn huyu mwanamke sio wa kuolewa hawezi kutunza siri za nymba anatisha kuliko ukoma huyukupata mtu ambae mna lengo moja nayo changamoto mkuu.kuna watu wabinafsi sana . hv mtu unakuwaje mchoyo hadi kwa damu yako eti.japo tunamuona joyce mbaya ila na huyu kamanda sio kabisa aaah
Umemsikia mumewe kajibu nini usitoe haki kwa maelezo ya upande mmojakumbuka huyu ni mkewe na wana watoto. hapo watoto ukute wakirudishwa ada,hakuna chakula home ,umeme umeisha etc usihukumu mkuu? je kuna mume hapo?
Usikatishwe tamaa na huyu aliye lelewa na tamaduni za magharibi hayo kwao ni kawaida kabisa wapo walio lelewa na maadili yetu ukimpiga akiulizwa anajibu kaanguka kisimani oa tu mkuu muhimu ana maadili ya wapikweli mkuu sku hizi ndoa bhana bora kua singo hayo ni mambo ya ndani sana sio ya kuandika mitandaoni ndoa za siku hizi bana zimekosa muelekeo kabisa inatia kinyaa bora nibaki kua singo duuu
whichever way, bado anatakiwa arespond ili watu waweze kumwelewaaitishe wazee wa upande wa mke na wakwake ayajibu huko sio mitandaoni,