Hivi huyu jamaa anajiita Chief Godlove kwani hakuna sheria inayokataza kutukana mitandaoni? Yeye Kila siku Ni kutukana watu wasio matajiri

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Huyu jamaa mda wote ni kutukana watu wote wasio na kipato kama yeye. Kazi ni kupost magari na nyumba anazopigia picha. Anakera sana. Sio uungwana kama ni fedha ni zako sie zinatuhusu nini?
 
Huyu jamaa mda wote Ni kutukana watu wote wasio na kipato Kama yeye. Kazi Ni kupost magari na nyumba anazopigia picha. Anakera Sana. Sio uungwana Kama Ni fedha Ni zako sie zinatuhusu Nini?
OGOPA SANA MTU ANAYE SEMA, "TAFUTA PESA KIJANA"
WAKATI YEYE HUJUI ANA FANYA NINI/KAZI GANI YA KUMUINGIZA KIPATO.
KUNA UTAJIRI WA HARAKA HARAKA KWNENYE MADAWA YA KULEVYA,BIASHARA ZA KUUZA SILAHA, BIASHARA YA VIUNGO VYA BINADAMU, UCHAWI,UJAMBAZI & UTAPELI NA KUJITOA SADAKA.
 
Kakuagiza wewe Chawa wake uje umpigie Promo huku..... Sawa
Ila ulipie Tangazo
 
OGOPA SANA MTU ANAYE SEMA, "TAFUTA PESA KIJANA"
WAKATI YEYE HUJUI ANA FANYA NINI/KAZI GANI YA KUMUINGIZA KIPATO.
KUNA UTAJIRI WA HARAKA HARAKA KWNENYE MADAWA YA KULEVYA,BIASHARA ZA KUUZA SILAHA, BIASHARA YA VIUNGO VYA BINADAMU, UCHAWI,UJAMBAZI & UTAPELI NA KUJITOA SADAKA.
Malizia na ushoga
 
Kuna jamaa huku mtaani alikuwa kama huyu jina sito mtaja alikuwa maarufu sana...
Mipesa ya gafla gafla mara kavuta gari mala
Kashusha jengo alikuwa na sifa za kukera.

Ana dharau watu yani alikuwa ni fullllll...
Kuvimba sasa mwaka juzi simnaukumbuka
Ule msako ulioanzishwa wa kuwasaka wale
Wa tuma kwenye namba hii mwaka jana hapa
Jamaa kabainika nae yupo kwenye lile crew..

Saiv inaenda mwaka jamaa yupo segerea sifa
Sio nzuri hao huyo jamaa ni tiktoker ana sifa.
 
Hii dunia utavuna ulicho stahili
 
Hashi Puppi yuko jela miaka 11, huyo subiri siku zake zinahesabika itajulikana tu ipi mbichi ipi mbivu
 
Huyu jamaa mda wote Ni kutukana watu wote wasio na kipato Kama yeye. Kazi Ni kupost magari na nyumba anazopigia picha. Anakera Sana. Sio uungwana Kama Ni fedha Ni zako sie zinatuhusu Nini?
Kwamba asipoongea umasikini ndio unaisha

Sent by Iphone 14 pro
 
Tafuta pesa mbwa wewe
😂 Anyway kwa wavivu anakera ila kwasisi tunaona kama kamende kanachezea nnya (kichekesho)
 
Back
Top Bottom