Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
Hivi mtu maskini ndo anafananaje, kama unatimiza basic needs za kila siku we tayari sio maskini, afu hawa bongo watu wengi ni malimbukeni wa pesa wanapambana kwa nguvu mixer kuroga na dili haramu ilimradi wawe RICH but they ain't WEALTHY, wanatamba lakini anguko lao lipo miguuni mwao na huwa hawatoboi hata 5 yrs, watu wa design hii utawaskia wanasema 'tafuta hela kijana' kauli ya kipumbavu ambayo huwezi kuiskia kwa mtu anayejitambua