Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
Jamaa nimeona clip zake aisee kama una njaa haifai kumsikiliza maana ni full maneno ya shombo.
Amemnunulia Mbwa wake Crown na pia mbwa wake wanakula kuku wa KFC na Maziwa ya ASAS.
Sasa kwa Madharau hayo kweli watu watatnunua nguo zake? Maana anawatusi na kuwaambia kama Masikini usivae nguo zake ,brand yake ni kwa matajiri tu.
Alaaaaa! Yeye mwenyewe anakula nini sasa
Huyo jamaa anapatikana wapi..?Ndiyo ujiulize ,kama mbwa anakula makuku ya KFC je yeye? Kwa Biashara ya nguo tu hawezi kuwa na jeuri hiyo usikute wameuza mashamba ya urithi huko anakuja kuwachetua watu mitandaoni.
Kutwa kushika pesa ambazo hazizidi hata 10m na kuzionyesha onyesha , nyumba anayokaa akirecord ni makelele ya vyura sijui anakaa karibu ya bwawa au vyura wa masharti hahaaa.
Mitandao hii mtu anajipenyezapenyezaAlaaaaa! Yeye mwenyewe anakula nini sasa
Acha kututusi tuliokulia kwwnye ufukara wewe.Mwambieni hakuna jipya chini ya jua.
Atakuwa ametoka familia yenye background ya ufukara kwa hiyo yeye kupata vijisenti makalio yanamuwasha kila kukicha.
Kumbe haya majamaa yKuna jamaa huku mtaani alikuwa kama huyu jina sito mtaja alikuwa maarufu sana...
Mipesa ya gafla gafla mara kavuta gari mala
Kashusha jengo alikuwa na sifa za kukera.
Ana dharau watu yani alikuwa ni fullllll...
Kuvimba sasa mwaka juzi simnaukumbuka
Ule msako ulioanzishwa wa kuwasaka wale
Wa tuma kwenye namba hii mwaka jana hapa
Jamaa kabainika nae yupo kwenye lile crew..
Saiv inaenda mwaka jamaa yupo segerea sifa
Sio nzuri hao huyo jamaa ni tiktoker ana sifa.