Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu mwenyewe😄😄😄😄😄😄Mipumbavu imekutana Studio.
Ndio tabu kuajiri vitoto vya sekondari unavipa kazi imezidi uboho wa akili.
Pumbavu sana
Sasa mkuu ni Sawa kumpigia makelele mkuu wa nchi ati afunge maofisi maofisi mapema kisa wakaangalie yanga.Pumbavu mwenyewe😄😄😄😄😄😄
Wawakilishi wa taifa na timu pekee kufanya vizuri zaidi kimataifa.Alikua anasema tuu I think...
Yanga ni nini mpk tuache kufanya kazi
Umebadili tena jina...Majambazi fc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196]
Kuwa muwazi wewe sio shabiki wa yanga, harafu acha makasiriko sio kila kitu unachukulia serious hao vijana wapo kuchangamsha game kumbuka yanga haijamwandikia rais barua kuomba siku hiyo iwe mapumziko. Sio mnakimbilia kuja jamii forum kuanzisha threads za kufa kiume hizoMimi ni shabiki wa Yanga (kiasi) ila kitendo cha huyu msemaji wa Yanga kutaka Jumatano kazi ndani ya ofisi za umma kuishia saa sita mchana siku ya Jumatano kwakuwa Yanga inacheza HAPANA.
Hata ingekuwa ni final bado hatupaswi kusitisha shughuli za umma kwa vitu vyenye tija kwa wachache huku maelfu na maelfu ya Watanzania wakikosa huduma muhimu kwenye ofisi za umma. Yeye anastawi kwa kuhamasisha mashabiki, na awapo uwanjani na maelfu ya washangiliaji hapo yupo kazini huku account ikipanda graph.
Rais Samia kataa hili ombi batili.
View attachment 2614993
Ndugu yangu watu wana stress [emoji30] kichizi hayo ni makasiriko tu wanaumizwa na hawa vijana ila nao wanakera sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]I think as much.
Kama wangekua serious, nadhani wange lodge ombi lao kwa rais kupitia channels za kiserikali (TFF-BMT-Wizara ya michezo). I think alikua anafurahisha genge tu, for the sake ya vibe na mzuka..!!
Haswa Ali Kamwe anakera zaidi ya Manara wkt anawakera Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndugu yangu watu wana stress [emoji30] kichizi hayo ni makasiriko tu wanaumizwa na hawa vijana ila nao wanakera sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sio kila kitu ukichukulie siriaz mkuu...Mimi ni shabiki wa Yanga (kiasi) ila kitendo cha huyu msemaji wa Yanga kutaka Jumatano kazi ndani ya ofisi za umma kuishia saa sita mchana siku ya Jumatano kwakuwa Yanga inacheza HAPANA.
Hata ingekuwa ni final bado hatupaswi kusitisha shughuli za umma kwa vitu vyenye tija kwa wachache huku maelfu na maelfu ya Watanzania wakikosa huduma muhimu kwenye ofisi za umma. Yeye anastawi kwa kuhamasisha mashabiki, na awapo uwanjani na maelfu ya washangiliaji hapo yupo kazini huku account ikipanda graph.
Rais Samia kataa hili ombi batili.
View attachment 2614993