Hivi huyu msemaji wa Yanga anadhani Rais Samia hajielewi?

Kiukweli hii kazi ya usemaji wa vilabu Tanzania tumeizidisha Sana .

Sijawahi sikia msemaji wa mazembe wala Mamelodi wala alahly wala man city...

Sisi sijui tumetoa wapi huu ujinga
 
Pumbavu mwenyewe😄😄😄😄😄😄
Sasa mkuu ni Sawa kumpigia makelele mkuu wa nchi ati afunge maofisi maofisi mapema kisa wakaangalie yanga.
Upuuzi gani huo.
Kwanza wengine hatuna hata interest na mpira.
Wala kwenda huko Mkapa Stadium sikumbuki niliwai lini kwenda never!
Sasa niache kutafta hela niongoze kwenda kule
 
Kwahiyo Ahmed Ally anaposema thimba ni timu kubwa Afrika huwa mko serious kabisa?, Tukisaidie vingine kama hayo huwa nikuwauzmiza watani tu hata yeye anaelewa hilo haliwezekani😅. Ila tiali ashawapata wanaoumia pole mtoa mada na shabiki wa thimba uliyejificha kwenye uyanga kidogo.
 
Hawajawahi kuwa na akili,

Ndio maana wanamwita NJITI
 
Kuwa muwazi wewe sio shabiki wa yanga, harafu acha makasiriko sio kila kitu unachukulia serious hao vijana wapo kuchangamsha game kumbuka yanga haijamwandikia rais barua kuomba siku hiyo iwe mapumziko. Sio mnakimbilia kuja jamii forum kuanzisha threads za kufa kiume hizo
 
I think as much.
Kama wangekua serious, nadhani wange lodge ombi lao kwa rais kupitia channels za kiserikali (TFF-BMT-Wizara ya michezo). I think alikua anafurahisha genge tu, for the sake ya vibe na mzuka..!!
Ndugu yangu watu wana stress [emoji30] kichizi hayo ni makasiriko tu wanaumizwa na hawa vijana ila nao wanakera sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ndugu yangu watu wana stress [emoji30] kichizi hayo ni makasiriko tu wanaumizwa na hawa vijana ila nao wanakera sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Haswa Ali Kamwe anakera zaidi ya Manara wkt anawakera Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sio kila kitu ukichukulie siriaz mkuu...
 
Utopolo Sasa ni zamu yetu kufunga nchi. Hatuna furaha ingine!

Kama thimba hamtaki kusikia habari za Yanga zibeni masikio, sisi Utopolo tutaenda vibanda umiza kucheki chama letu likiendelea kuvunja rekodi nyie mbumbumbu kaeni ofisini mjenge Taifa la mafisadi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…