Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Nimetizama mahojiano ya huyu anayejiita mfalme Zumaridi na Mtangazaji wa Clouds, Millard Ayo na nimebaki na maswali mengi sana lakini kubwa ni kwamba ANATUCHUKULIAJE WATANZANIA?
Hata huyo Millard ayo anayemrusha hewani kila siku Kwa sababu ya visenti vya kishetani anaendekezA upuuzi tu

She should be blacked out completely
 

Wengi wa manabii wa uongo huwa wanasingizia walitokewa na Mungu, ili kuficha maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…