Hivi huyu mtu anayejiita Mfalme Zumaridi anatuchukuliaje?

Huyu ana tatizo sugu la akili mkuu, ni kumpuuza tu
 
Sio Zumaridi tu

Wapo wengi wenye matatizo

I once wrote a paper about mental diseases being contagious and I can tell you sio yeye tu wapo wengi but we have normalize it...
 
Kuna wasabato walitaka kupanda ndege Pale airport kwenda Marekani huku hawana hata passports lakini nao utakuta wanamshangaa Zumaridi.
 

Kitendo cha kumuona Mtu ambaye hujawahi kukaa nae hata sekunde 5 zaidi ya kwenye tv kua ni Mgonjwa wa Akili sababu tu anafanya vitu ambavyo wewe hupendezwi navyo basi jua wewe ndie mgonjwa,

Huwezi kusema Tapeli ni Mgonjwa wa Akili au Mchekeshaji ni Mgonjwa wa Akili
 
Haya.
 
No she is sick....

She may be getting money but she is sick

Delusional of grandiose ni hatari anaionyesha wazi wazi kabisa
Watu wagonjwa wa akili ni wale wanashindwa kufanya shughuli zao za kutatua matatizo yao kwenye maisha. How unasema huyu dada ni mgonjwa wakati ni hard worker, smart, mambo yake tunayaona.Hakuna sehemu analia maumivu hadi ashindwe kupiga kazi.Katoka jela siku hiyo hiyo kaanza kupiga kazi..
 
Sio Zumaridi tu

Wapo wengi wenye matatizo

I once wrote a paper about mental diseases being contagious and I can tell you sio yeye tu wapo wengi but we have normalize it...
Eeeeh! Daktari hii ya wapi tena

"mental diseases being contagious"

Kivipi yaan mbona utafiti wako ni kiboko
 
Eeeeh! Daktari hii ya wapi tena

"mental diseases being contagious"

Kivipi yaan mbona utafiti wako ni kiboko
Hua ni ngumu sana ku deal na watu wa Aina yako

Your characters as a lesbian speaks a lot wewe ni mbishi na usiyetaka kujifunza
 
Eeeeh! Daktari hii ya wapi tena

"mental diseases being contagious"

Kivipi yaan mbona utafiti wako ni kiboko
Kama. Ungekua ni mtu mwelewa na mstaarabu you could simply ask how is it possible that mental diseases are contagious

And you could be much curious to learn and understand lakini ndo much know Sasa ndugu yangu unajua yote na unafahamu yote

Sijui unaishije na watu huko

I am curious
 
No she is sick

Mimi ni daktari na nimehudumia wagonjwa wengi wa akili kama yeye

She is sick!
Hata mimi nimeshawahi kufanya kazi na watu wenye tatizo la akili.Yaani hao watu wengi .Hawawezi kabisa kufanya shughuli za kila siku ili kutafuta solution za matatizo kwenye maisha. Unakuta mtu hata kwenda kazini hawezi.Mtu anachapa kazi zake vizuri,unamwona anatatua matatizo yake,anaweka mwanasheria kumpambania ili atoke jela,anatoka jela anapiga kazi na anasema yaliyopita yamepita. Utasema vipi mtu huyu anaumwa akili ?
 
Mgonjwa wa akili si lazima ashindwe kufanya kazi
 
Baba Swalehe Zumaridi ni maisha ya shida na umaskini ndo vimemfanya awe Zumaridi leo.Ni katika kutafuta solutions katika kutoutaka umaskini ndo leo ni Zumaridi. She is very very Smart. Kudos to her.
"Necessity is the mother of invention"
 
Mtu mwenye tatizo la akili si lazima ashindwe kufanya kazi
Mfano mtu tunayemwongelea hapa Ana bipolar disorder/ ama schizophrenia sijui kama unaifahamu sababu umesema umefanya kazi na wagonjwa basi unaifahamu
Tunamwona kabisa akiwa anaongea moja
1. Ana Flight of ideas
2. Circumstantially inaonekana
3. Bizzare talking / dressing pattern
4. Delusion of grandiose zipo za kutosha anazionyesha wazi wazi
5. Inflated self esteem
6. Ana racing thoughts nyingi mno

She is exuberant and so flamboyantly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…