Hivi huyu pichani sio Ali Remtullah?

Amini unachotaka naishi kivyako. Watu kama wewe ni mixed genes ila mnajikataa. Mtu ambaye ni straight hana hata time ya kupinga hivi vitu. Nenda tena kwenye vitabu vya saikolojia ujitafakari. Bye tusiongee tena.
Hahah hio ndio gia ya mashoga/wasagaji wakihojiwa hua wanajaribu kupunguza kuhojiwa kwa kutupia tuhuma za mixed genes.

Endeleeni kufirw.a/kufir.a/kusagani kwa ujinga wenu ila msisingizie genes za wazazi wenu.
 
Mkuu kumbe nahitaji Elimu eh? Hongera umenifungua akilakili
 
JAMAN MBONA HAPA JF KUNA MEMBER NI SHOGA NA YUPO VERIFIED KABISAAAA NA NI SMART ANAVAA VIZURI NA NI MTU MAARUFU.......ngoja ninyamaze nisije kulaa ban....!!!
 
Sijawahi pia kujua ni kwanini hata ongea yao ina ladha ya kike na mapozi ya kike kwani fashion si me na ke kwa nini wanapenda kuwa na muonekano wa kike?na si kiume?au basi tuseme kwanini wanapenda kufanya na kuwa na vitabia vya kike?Naomba kufahamishwa na mafashionist.
God forbid... But wanaume wengi walio kwenye hii industry kama sio kabisa basi wana viashiria
 
Manii huwa zinaathiri mfumo dume
 
JAMAN MBONA HAPA JF KUNA MEMBER NI SHOGA NA YUPO VERIFIED KABISAAAA NA NI SMART ANAVAA VIZURI NA NI MTU MAARUFU.......ngoja ninyamaze nisije kulaa ban....!!!

kuna mmoja alinitumia picha inbox hapa hapa jf aiseeeee mpaka nikasema Mungu wangu hii dunia inakwenda wapi
 
Maulana Mola wangu tuepushe watoto wetu jamani uwiii!
Inatisha walahi!
 
Hahah hio ndio gia ya mashoga/wasagaji wakihojiwa hua wanajaribu kupunguza kuhojiwa kwa kutupia tuhuma za mixed genes.

Endeleeni kufirw.a/kufir.a/kusagani kwa ujinga wenu ila msisingizie genes za wazazi wenu.
Asante ingawa umepotea maboya kwangu.
 
Nakusoma mstari baada ya mstari...nagundua kitu kizito sana nyuma ya maandishi yako....pole sana mkuu
 
Nakusoma mstari baada ya mstari...nagundua kitu kizito sana nyuma ya maandishi yako....pole sana mkuu
Kwa nini pole? Mimi sina tatizo ila nimeishi na hawa watu mateso wanayopitia huwezi jua ndo maana wanaishia kuwa drug addicts because they do not who they are! Walio na bahati wakawa wasanii wazuri wameishi, wameoana wenyewe kwa wenyewe lakini ukiangalia wamepitia mikiki ya madawa na ulevi sababu hawakujua wao ni akina nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…