Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwiko nyuma daima mbeleWeeeKundu la msimbazi
Wee ni kundu la msimbazi?Mwiko nyuma daima mbele
Chomoa huo mwiko huko nyuma kalaleWee ni kundu la msimbazi?
Haujajibu wewe ni la msimbazi?Chomoa huo mwiko huko nyuma kalale
Nikujibu nini mwiko nyuma?Haujajibu wewe ni la msimbazi?
Aanze mara ngapi kaka,Dogo kichaa huyu aiseeMtoa mada akianza kutukana mnitag
kama yule shabiki wa yanga aliyesema yanga ni utopolo hadi leo utopolo wenzie wanamchukia.Ukiwa mkweli wenzako wanakuchukia
Wa Kukubandua au?Yanga Bingwaaaaaaa
Mumuumize mtu kisa mpira? agh! mbona tunawaweka jela!Jamaa awe makini watu Wana hasira nae mbaya, atakuja kuumizwa kimzaha mzaha
Kiufupi makolo ni kama wamepagawa hivi.Kama kawaida nchi ya wasiopenda kuambiwa ukweli
Umeenda mbali hadi kuwaza kufanya fujo dhidi ya mtu wa kawaida kabisa ambae hutoa maoni yake bila fujo
We mwenyewe rangi mbili
Me nikajua mchome ndo popoma
Msimu flani ilifikia wakaweka watu Wana bakora nje ya uwanja ukionwa unakosoa team kupitia online tv wanakupa bakora nyingi sanaKiufupi makolo ni kama wamepagawa hivi.
Nisawa na mtu anae kufa maji, kila kipitacho mbele anaamini kitamuokoa, mwisho wa siku mpaka wimbi anataka kulikamata.
Msaada pekee alio nao Simba ni kukubali kua Yanga ni bora kwa sasa, na yeye atengeneze timu imara haya yote yataisha.
Huna akiliNi mkazi wa mbezi kwa msuguri mtaa wa singida ila anafanyia shughuri zake mataa wa masaki za uwakala wa fedha mitandaoni
Kwanza huyu jamaa ni muhaa alaf ajakula ata x-mas 5 mjini hapa kwaiy bado anakaushamba flan ambacho kimekuwa powered na online tv kwa kumuaminisha akifany inyoo atakua maarufu ila jamaa flan fala tu na anamaisha magumu
Binafs uwa ananikela sana mkitak kumteka niambieni niwacholeshee raman ili afundishwe kuwa upumbavu ni mzigo