Hivi huyu Shabiki Mchome mapovu ni Shabiki kweli wa Simba SC au ni mwana Yanga SC aliyenunuliwa Jezi ya Simba SC ili atudhalilishe?

Hivi huyu Shabiki Mchome mapovu ni Shabiki kweli wa Simba SC au ni mwana Yanga SC aliyenunuliwa Jezi ya Simba SC ili atudhalilishe?

Tuanze na mleta MADA aliwe kibo.ga maana haeleweki ni mwenzetu Simba au Yanga
 
Kuwa na msimamo mtoto wa kiume si ulisema hushangilii tena timu za bongo.

Ushahidi huo hapo
 
Attachments

  • IMG_5896.png
    IMG_5896.png
    223.6 KB · Views: 4
Napendekeza serikali impatie ulinzi, Makolo wenzake wana hasira sana.

Na mashabiki wa Yanga msipende kutembea mmoja, tembeeni kwa vikundi. Na kama upo barabarani ukamuona shabiki wa Simba anakuja mbele yako tafadhali hama upande haraka sana.
 
Kama kawaida nchi ya wasiopenda kuambiwa ukweli
Umeenda mbali hadi kuwaza kufanya fujo dhidi ya mtu wa kawaida kabisa ambae hutoa maoni yake bila fujo
We mwenyewe rangi mbili
Kiufupi makolo ni kama wamepagawa hivi.

Nisawa na mtu anae kufa maji, kila kipitacho mbele anaamini kitamuokoa, mwisho wa siku mpaka wimbi anataka kulikamata.

Msaada pekee alio nao Simba ni kukubali kua Yanga ni bora kwa sasa, na yeye atengeneze timu imara haya yote yataisha.
 
Ni mkazi wa mbezi kwa msuguri mtaa wa singida ila anafanyia shughuri zake mataa wa masaki za uwakala wa fedha mitandaoni
Kwanza huyu jamaa ni muhaa alaf ajakula ata x-mas 5 mjini hapa kwaiy bado anakaushamba flan ambacho kimekuwa powered na online tv kwa kumuaminisha akifany inyoo atakua maarufu ila jamaa flan fala tu na anamaisha magumu
Binafs uwa ananikela sana mkitak kumteka niambieni niwacholeshee raman ili afundishwe kuwa upumbavu ni mzigo
 
Msimu flani ilifikia wakaweka watu Wana bakora nje ya uwanja ukionwa unakosoa team kupitia online tv wanakupa bakora nyingi sana
Baada ya mda mfupi wakavunja team fukuza kocha na Kila kitu sawa na vile vile watu walivyokuwa wanashauri Sasa unajiuliza kama watu walikuwa wanakosea kwa Nini mbadili team wasiwaache hao kina Boko n.k waendelee
Yani inaonekana kwa Simba anaetakiwa kusikilizwa ni pasi milioni Simba hanyatiwi na kofia lake,kisugu,kale ka tomboy ,yule bonge kitambi,jamaa msambaa flani na kofia yake na mzee wa salute hao ndio wenye kibali Cha kuongea wengine hakuna kutoa maoni
Na huyu Genta atakuwa ni pasi milioni maana story zake zimekaa kizee sana
 
Ni mkazi wa mbezi kwa msuguri mtaa wa singida ila anafanyia shughuri zake mataa wa masaki za uwakala wa fedha mitandaoni
Kwanza huyu jamaa ni muhaa alaf ajakula ata x-mas 5 mjini hapa kwaiy bado anakaushamba flan ambacho kimekuwa powered na online tv kwa kumuaminisha akifany inyoo atakua maarufu ila jamaa flan fala tu na anamaisha magumu
Binafs uwa ananikela sana mkitak kumteka niambieni niwacholeshee raman ili afundishwe kuwa upumbavu ni mzigo
Huna akili
 
Back
Top Bottom