Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

Tatizo usalama wa Taifa umeingiliwa na CCM. Tatizo sio usalama wa Taifa. Tatizo no CCM

Leo CCM kupitia kwa mwenezi wao wanetangaza Derby ya Mzizima, kila goli wanalinunua kwa ng'ombe mmoja..


Sasa huu sio Ukauzu?
 
Hao jamaa wana control kila kitu unachofanya na unachotaka kukifanya na humu ndani afisa vipenyo Aka makachero wapo humu ukitaka kujua zaidi tafuta series inaitwa person of interest utajua mengi zaidi
Tuko watanzania 60m ....Hao wako wangapi waweze kutumudu masaa 24 x 365?
 
Hoja no usalama wa Taifa, hayo ya mengine anzisha hoja take.
Usalama wa taifa ilisha-prove sifuri Tena wakati wa Magufuli ndio kabisa iliji-expose zero kabisa.


Tatizo la wabongo wakisikia Usalama wanadhani, Wana uwezo extraordinary, wanajua kila kitu, wanaingia kila sehemu na wanaweza kufanya kila kitu.
 
Usalama umegawanyika katika nyanga 3

Mambo yote ya kijamii (tamaduni za kitaifa)

Uchumi

Maasi (terrorist)
 
Wao siyo kila kitu nchini.

Walio kila kitu nchini ni wananchi.

Bila wananchi, hakuna nchi.
Kweli kabisa, wananchi wakiwa wa hovyo, vivyo hivyo taasisi zote zikiwemo za usalama zinakuwa hovyo.
Wananchi wakiwa matajiri na nchi huwa tajiri.
Tuna changamoto kubwa ya fikra za kijinga kuwa nchi yaweza kuwa tajiri wakati asilimia kubwa ya wananchi ni masikini.
 
Tuko watanzania 60m ....Hao wako wangapi waweze kutumudu masaa 24 x 365?
Swali murua kabisa hilo Komredi!

Ungekuwepo hapa nilipo ningemwbia weita akusogezee kindoo cha β€˜henken’ [Heineken].
 
Jamaa zamani walikuwa na nguvu sana ,

Mfano wakimshauri Rais mtengue fulani wananchi wanampigia kelele hawana imani nae kuwatimikia walikuwa wanasikilizwa,

Ushauri wao ilikuwa kama amri.

Siku hizi sijui kama bado hiyo nguvu bado ipo?!
 
Usalama wa Taifa haupaswi kupuuza kitu chochote chenye kugusa jamii kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k.

Nakumbuka kero ya unga ilichangia sana kumngoa Raisi Kaunda Zambia.

Though I agree with you that not every thing is of importance
 
Hao jamaa wana control kila kitu unachofanya na unachotaka kukifanya na humu ndani afisa vipenyo Aka makachero wapo humu ukitaka kujua zaidi tafuta series inaitwa person of interest utajua mengi zaidi

Person of interest ni way beyond intelligence zetu. Tz hatuna Super AI au such kind of deep intel systems kama β€œthe machine”

Only the america with similar project kama code name : prism

Labda general intelligence yes, they are everywhere, whatching,monitoring,reporting
 

Hawa jamaa kazi wanafanya ,probably huo ufisaid huwa wanaujua. Lakin wafanya maamuzi ndio hao hao mafisaid, basdhi ya watunga sheria nao,

Utafanya nn if unapo report ndio wahusika?
 
Ngoja tukuache na uelewa wako kiwa Usalama wa Taifa ni kulinda nchi iwe salama isivamiwe na usalama wa viongozi wa Taifa. Ndio maana unavyojua ni wale wanavaa suti na silaha kiunoni.
Kama mwananchi muelewa wa Pineapple Republican
 
Mkuu Nyani Ngabu

Usalama wa taifa halisi na kwa mjibu wa majukumu ya maslahi ya taifa wanahusika katika bidhaa zinazotengezwa ndani na zinazotoka nje. Kwa maana hiyo idara inatakiwa kuchomeka watu wao katika maeneo tofauti ya uzalishaji, usambaji na matumizi kukidhi usalama wa wananchi ambao ndio wanunuzi na watumiaji wake.

:...To be precise economic intelligence should endeavor to focus on the production, distribution, and consumption of goods and services, as well as labor, finance, taxation, and other aspects of a nation's economy or of the international economic system. Economic intelligence allows a nation to proactively estimate the magnitude of possible military violations. It is therefore any intelligence that helps a competitive economy. Financial and commercial information, the government, and the company information can be evaluated as the information that will affect the investment decisions and risk the relations among the states....."

Espionage is the process of obtaining military, political, commercial, or other secret information by means of spies, secret agents, or illegal monitoring devices. Espionage is sometimes distinguished from the broader category of intelligence gathering by its aggressive nature and its illegality. This is always facilitated by individuals from the host state (Local spies are hired from among the people of a locality. Inside spies are hired from among enemy officials. Reverse spies are hired from among enemy spies. Dead spies transmit false intelligence to enemy spies-undercover or double agent)
 
Nadhani ni kwa sababu Watanzania tumekuwa na mentality ya kuamini kuwa Usalama wa Taifa ni Malaika wanaojua kila kitu,kiasi kwamba cho chote ambacho hakipendezi kikitokea katika Taifa letu tunaamini ni uzembe wao.
Hiyo sasa ni uelewa wako
 
Nchi hii ina wananchi wajinga sana kwa kupitia comment za humu Jamii forums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…