Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfumo na katiba iliopo, hata akishushwa malaika akapewa u IGP, aratenda chini ya kiwango. Kuwatanguliza wanasiasa na siasa yao kumeharibu mengi.Tatizo sio IGP ni mfumo
Tukisema polisi akili zao wanazijua wenyewe tunasimangwa tunaambiwa polisi ni wasomi hamna mfano, haya sasaHii kauli ya Freeman Mbowe kuhusu kushangaa kuwa IGP Simon Sirro mpaka leo yupo ofisini na anashangaa mpaka leo bado yupo ofisini unadhani ni sahihi muda huu mkuu huyo wa Jeshi la Polisi anatakiwa akuwa ameshajiuzulu...
Alinukuliwa akisema hatuwezi kutawaliwa na ma,/gaidi kipindi kile cha kampeni. Juhudi zake zilikipa nguvu ccm na kudhoofisha vingine. Dola ni mfungamano...Mwenyekiti wa CCM ndiyo anapenda Sirro aendelee kuwa ofisini kwasababu CCM bila polisi haina uwezo wa kushinda.
Kipindi cha Magufuri, mlikuwa mnasema Magufuli ndiye anayeua, sasahivi Magufuri hayuko kuna Samia mnasema mnasema Siro ndiye anayeua,🤣🤣🤣hata hatawale malaika mauaji hayawezi koma mladi wahalifu wanazaliwa kila Siku,sawa polisi wanasehemu yao lakini matatizo mengine tunayaleteleza sisi kwa kutokufuata sheria na taratibu za nchi.Hii kauli ya Freeman Mbowe kuhusu kushangaa kuwa IGP Simon Sirro mpaka leo yupo ofisini na anashangaa mpaka leo bado yupo ofisini unadhani ni sahihi muda huu mkuu huyo wa Jeshi la Polisi anatakiwa akuwa ameshajiuzulu...
Mimi mwenyew mdomo waziMbona kama umepaniki ghafla! Kulikoni?
Wakikutembelea ndiyo utaufahamu uzuri Wa Polisi Wa Tanzania chini ya Sirro Wa CCM.Kwa Sasa unaruhusiwa kumsifia Sirro kwa kutulinda na kutokutuua kwa wingi.So tatizo la polisi limeanza na Siro. Huyu kiongozi alikuwa mtu fighter sana wa maovu mipakani. Leo mnakunyaaaa kwa Amani sababu Yake na wengine. Wema wapo na wabaya wapo. Hata wewe una mabaya yako. Mema yao yanazidi mabaya na ndo mana tunaishi.
Alikuwa na kesi ya kujibu kwanini a jiuzulu.Hii kauli ya Freeman Mbowe kuhusu kushangaa kuwa IGP Simon Sirro mpaka leo yupo ofisini na anashangaa mpaka leo bado yupo ofisini unadhani ni sahihi muda huu mkuu huyo wa Jeshi la Polisi anatakiwa akuwa ameshajiuzulu...
Mbowe ni nani kwenye serikali? mbowe akisema au akishangaa sirro bado ni IGP italeta madhara gani kwa taifa. mbona watu wanamshangaa yeye mbowe bado tu mwenyekiti miaka nenda rudi why?Hii kauli ya Freeman Mbowe kuhusu kushangaa kuwa IGP Simon Sirro mpaka leo yupo ofisini na anashangaa mpaka leo bado yupo ofisini unadhani ni sahihi muda huu mkuu huyo wa Jeshi la Polisi anatakiwa akuwa ameshajiuzulu...
Atajikuta anaondolewa au kuondoka kwa fedheha kama hatafanya maamuzi hayo mapema.Kujiuzulu si utamaduni wetu watanzania.
Inawezekana kabisa tatizo ni mfumo, hasa wa kumpata IGP!!lakini jeshi limekuwa la kulaumiwa sana hasa awamu ya 5, baada ya kuonekana rais analiunga mkono kwa kila kitu wanachokifanya hata kiwe kibaya!!kama kipindi kile cha omary mahita, alipokuja said mwema akaliweka jeshi kwenye mstari, ila daa kwa sasa ni balaa!!na ni kutokana na wanasiasa!!Mama atafute tu IGP mpya tena itapendeza aweke mwanamke tu, huyu wa sasa hamna kitu, aliwezana na upepo wa jiwe ,Tatizo sio IGP ni mfumo
Kwa akili zako unafikiria kuwa mwenyekiti wa chama cha upinzani kwa nchi za kiafrika ni sawa na kuwa mwenyekiti wa chama tawala?!Madaraka matamu jamani
Mbowe anamshangaa Sirro kuwepo madarakani ilhali yeye Mbowe ana takribani miaka 17 sasa bado kang'ang'ania uenyekiti wakati CCM kwa miaka hiyo tayari walishakuwa na Mkapa, Kikwete, Jpm na sasa Samia
Na bado Mbowe alifanya figisu kwa kunyofoa kipengele cha katiba kilichokuwa kimeweka ukomo wa kuongoza madarakani ndani ya Chadema
Kama hakujiuzuli kwenye sakata la MO , usitegemee ajiuzulu leoHii kauli ya Freeman Mbowe kuhusu kushangaa kuwa IGP Simon Sirro mpaka leo yupo ofisini na anashangaa mpaka leo bado yupo ofisini unadhani ni sahihi muda huu mkuu huyo wa Jeshi la Polisi anatakiwa akuwa ameshajiuzulu...
Wewe ndio hufikiri,Mbowe ni nani?Yaani Mbowe akishangaa ndio IGP Siro ajiuzulu? Mbowe ni nani nchi hii?
Watu wengine sijui akili hua mnatumia kufanyia nini maana inaonyesha wazi hamtumii akili kufikiri.