Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hivi hii kazi ukitaka kuifanya lazima uwe chizi kidogo maana naonaga waokota makopo kwa asilimia 100% ni kama wamevurugwa akili zao kama hamnazo je ndio mfumo wenyewe wa hizi mishe au ndio kutingwa na maisha magumu nakaribisha maoni yenu waokota makopo na msio waokota makopo ila hii sio kazi ya kufanya Kwa mtu unaejielewa