Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
OkaySawa mkuu
Je wewe ni shoga ?Mtu hataki kuwa shoga,anaokota chupa za plastic, wewe unasema amechanganyikiwa akili?
Duuh ni hatari sanaHapana ila sababu kubwa umasikini ni mbaya umasikini unachosha ,umasikini unadharirisha,umasikini unafubaza mpaka uso unaonekana mzee chizi, mgonjwa , wengi wanaofanya (biashara) ya kuokota makopo wako kwenye umasikini mkubwa sana
SawaSawa Tajiri.
Hujambo muokota makopo😃Sawa mkuu
Nakazia hapa🛠Hao wanaokota makopo sio vichaa au chizi Ila wameathirika na uraibu wa. Pombe , Madawa n.k
Kabla ya kuanza kuokota makopo walikuwa wanafanya kazi ya kupiga debe.
Baadhi yao huwa waapata bahati ya kuokolewa na kurudi kawaida japo hawawezi kuwa productive tena.
Ndo hata mzazi au familia ndugu yenu akianza kunywa Pombe , Bangi n.k mumuombee Sana.