Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Wakati wa uhai wake, marehemu baba aliwahi kuwa na urafiki na majirani zake, mmoja wapo ni tolu. Hata pale baba alipopata uongozi wa kijiji ushauri mwingi aliutoa kwa jirani tolu.
lakini katika siku za mwisho za uhai wake hapa duniani, baba alikosana mno na jirani yake tolu, wakawa hata hawajumuiki pamoja kama ilivyokuwa zamani. Nini hasa kilitokea mpaka ujirani huo ukafikia kikomo?