Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
- Thread starter
- #141
Tolu kaja tena Tanzania kwenye awamu ya mazaTolu hanaga urafiki wa kudumu.ni opportunist na mjanja mjanja.mr tabasamu anaeishi mtaa wa nne alimshtukia mapema sana. ugonvi wao haukuanzia kwenye ushauri kama walivyodai.tatizo mwendazake alikua na kaushamba flani ndo maana aliingia miguu miwili kwa tolu.