nasikia baba alimpa tolu hela atumie jina lake kununua kunguru ,miongoni wa wale kunguru, baada kunguru kudakwa kisa deni, tolu akasepa na helaWakati wa uhai wake, marehemu baba aliwahi kuwa na urafiki na majirani zake, mmoja wapo ni tolu. Hata pale baba alipopata uongozi wa kijiji ushauri mwingi aliutoa kwa jirani tolu.
lakini katika siku za mwisho za uhai wake hapa duniani, baba alikosana mno na jirani yake tolu, wakawa hata hawajumuiki pamoja kama ilivyokuwa zamani. Nini hasa kilitokea mpaka ujirani huo ukafikia kikomo?
Ila mkuu kweli wewe ni mchochezi kha!Wakati wa uhai wake, marehemu baba aliwahi kuwa na urafiki na majirani zake, mmoja wapo ni tolu. Hata pale baba alipopata uongozi wa kijiji ushauri mwingi aliutoa kwa jirani tolu.
lakini katika siku za mwisho za uhai wake hapa duniani, baba alikosana mno na jirani yake tolu, wakawa hata hawajumuiki pamoja kama ilivyokuwa zamani. Nini hasa kilitokea mpaka ujirani huo ukafikia kikomo?
DuuuhMshua gani tena?
Mjomba wa gorofa la nne aliandaa mpaka fimbo za kumchapa Tolu akizingua. Tolu akawa mpole kama paka wa dukani.Inasemekana ugomvi wao ni njiwa baba aliingizwa choo cha kike,
Tolu ni mtu hatari saana roho mbaya anaiweza na akili anazo, aliyemuweza upande wetu ni mjomba aliyekuwa kapanga gorofa la nne
Inasemekana ugomvi wao ni njiwa baba aliingizwa choo cha kike,
Tolu ni mtu hatari saana roho mbaya anaiweza na akili anazo, aliyemuweza upande wetu ni mjomba aliyekuwa kapanga gorofa la nne
We ndio umenifungua macho kwenye hizi codes. khaaah!!Baba ni mhutu,tolu ni mtutsi
Damu zao haziendani..
Yaani mpaka sasa ulikuwa hujausoma mchezo tuu?We ndio umenifungua macho kwenye hizi codes. khaaah!!
Ni akina nani hao sijakuelewa chiefPauli Kagoma, Tundulile Mwakalissu, Johnson Sizonje?
Ndio mkuuYaani mpaka sasa ulikuwa hujausoma mchezo tuu?