Hivi ilikuwaje kwa Prof. Jay na Rashida Wanjara?

Hongera mkuu Kwa huu umri unaruhusiwa kabisa kugombea kiti cha uraisi wa nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salamu Ziende Kwa Wanjara ,Don Masha Kitasa Kwenye Bunyero
Hahahha Daaah
 
Wale machoko wa vingunguti hawana kazi mjini zaidi ya Bunyero na kudanga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Naanza na Machoko Chokambaya na mgoroko Dudubaya ,Jay nakuonea huruma najua una miwaya,virusi alivyokupa malaya aliyekufa kule Tanga" - Kalapina Beef 2007


Jay naye kuna mstari aliimba:-

Waliosema nina ngoma wengi tushawazika.
Siku zile BASATA walikuwa poa sana.

Kalapina na Kikosi cha Mizinga walimtukana mpaka Miraji hawakumind mtoto wa Kikwete wala nini.

Na sijasikia wamefungiwa wala nini.

Jaribu leo umtukane mtoto wa Magu uone!
 
Rashida wanjara alikuwa demu wa Solothang sio Jay.

Demu alie imbwa na kikosi alikuwa Tanga wakati Jay anafanya kazi Vodacom na sio Rashida.

So ur thread is void ab initio
 
Rashida wanjara alikuwa demu wa Solothang sio Jay.

Demu alie imbwa na kikosi alikuwa Tanga wakati Jay anafanya kazi Vodacom na sio Rashida.

So ur thread is void ab initio
Umekosea sana kuhitimisha hivyo mkuu. Nadhani utakuwa umepitiwa tu au una kumbukumbu ambazo sio sahihi.

Rashida Wanjara na Nice Chande ndio mademu mastaa Profesa Jay alitoka nao enzi hizo na haikuwa siri kabisa.

Kuhusu Kikosi kumtaja demu wa Prof. niliiweka kama swali.. Sikusema directly ni Rashida.. So unaweza kuwa sahihi!

Halafu Rashida Wanjara alitajwa kwenye ngoma nyingi sana. Huenda na Solothang alimtaja pia ndio maana umejichanganya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zile BASATA walikuwa poa sana.

Kalapina na Kikosi cha Mizinga walimtukana mpaka Miraji hawakumind mtoto wa Kikwete wala nini.

Na sijasikia wamefungiwa wala nini.

Jaribu leo umtukane mtoto wa Magu uone!
Sasa Miraji mwenyewe si alikuwa msela tu anasponsa kundi la King'oko na kugongea mmea na kina Babuu, Ngwair, Langa etc.

Zipo story aliwahi kutimuliwa home na JK akaenda kuishi geto Kinondoni na kina Kala Pina maisha ya kihuni kabla ya kuzinguana nao!

BASATA ilikuwa bize na TaSUba tu kula hela za wazungu. Haikuwa na time ya kufungiana fungiana [emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Wanjara juzi alihojiwa kwny Tv akuulizwa maswali khs Prof J,akasema yale ni mambo ya zamani yalishapita.

So obviously walishakua wapenzi.
Rashida wanjara alikuwa demu wa Solothang sio Jay.

Demu alie imbwa na kikosi alikuwa Tanga wakati Jay anafanya kazi Vodacom na sio Rashida.

So ur thread is void ab initio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye atakua na 40 au 41....

Halafu umeme tangu mwaka 98 mpaka leo 2019 mmh sio kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…