Hivi ilikuwaje kwa Prof. Jay na Rashida Wanjara?

Hivi ilikuwaje kwa Prof. Jay na Rashida Wanjara?

Inawezekana alipata kuwa na Solo Thang pia. Si ajabu wasanii kuchangia wapenzi.
Lakini suala la yeye kuwa na Jay lilikuwa wazi sana, watu wengi walitambua.
Well said. Na haikuwahi kusikika kuwa yupo na Solothang. Prof. Jay ndio kila mtu alijua kwa sababu hawakufanya kwa siri!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rashida alikua ni demu permanent wa Jay na ilikua couple inayojulikana kama unavyoona Mondi na Tanasha labda ulikua mdogo
Rashida wanjara alikuwa demu wa Solothang sio Jay.

Demu alie imbwa na kikosi alikuwa Tanga wakati Jay anafanya kazi Vodacom na sio Rashida.

So ur thread is void ab initio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani jamaa ni mbunifu hatari.... sikuwaga namuelewa hapo.
Ila mond fala sana huyu dogo ni zaidi ya mbunifu na unaweza usimuelewe kama huna connection *****... Ndio leo nimeelewa hicho kipande
Ni
 
huyo malaya haitwi RASHIDA anaitwa SHIDA WANJARA..nimesoma nae jitegemee sec school yeye akiwa mkondo wa C2 mimi nikiwa B3...huyu umalaya kaunza akiwa mdogo sana hawa wakiwa formOne tu tayar walikua wanaliwa na walimu pale jitegemee sec. na walikua na mtandao wao hatar tayari mashosti zake 3 wamefariki kwa umeme,..hawa walikua wanatoa mpaka tigo hapo ilikua 1998,huyu shida ukibahatika kukutane nae live aisee ni kama maiti iliyopakwa make up,huyu dada kapita na wasanii wengi wakubwa na ni mgonjwa anakula dozi kama kawa ni mtu mzima kweli mana mimi nina Miaka 41 yeye atakua na miaka mingapi?

Mkuuu kwa Umri huo wa miaka 41 ndo unaandika ujumbe wa namna hii?
 
Back
Top Bottom