Hivi ilikuwaje kwa Prof. Jay na Rashida Wanjara?

"Miraji Kumbuka haki ulipofukuzwa na Baba yako ghetto kwangu nikakulaki tunashare kiporo cha wali uliobaki,Dingi kushika Ikulu unataka kunishitaki pasina haki?" -Kalapina
 
Siku zile BASATA walikuwa poa sana.

Kalapina na Kikosi cha Mizinga walimtukana mpaka Miraji hawakumind mtoto wa Kikwete wala nini.

Na sijasikia wamefungiwa wala nini.

Jaribu leo umtukane mtoto wa Magu uone!
Aliwashitaki, kuna mstari aliimba" dingi kushika ikulu unanishitaki pa sina haki..." Kilichofata kundi lote likameguka hadi leo
Ila ndio hivyo kesi za kisanii huwa zinaisha kisanii

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mimi nimesoma nae darasa moja mkuu namjua nje ndani akiwa shule..enzi zile maconcert ya shule walikuwa na group la 3 walikuwa wanajiita TLC kama lile group kina dada wa marekani. Huyo mwenzie anaitwa Vicky sijui kama bado yupo hai.
Enzi za shule alikuwa maarufu Kajala alikuwa bado yupo form 1 nae anachipukia.
Kwenye suala la umri inaweza akawa anagonga kati ya 38-40 nafikiri.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jay angetulia kwa Nice Chande. Hadi leo huyo mdada analipa balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…