Hivi ilikuwaje Pepe Kale akaimba ule wimbo wa "Yanga Africa?".

Umri wako tafadhari maana inaonekana huo wimbo umetoka ukiwa wewe haujazaliwa umezaliwa kipindi hiki cha Yanga Tamu na Yanga Anthem (Sisi Ndio Yanga), umri wako mkuu
Ninachotaka kujua ni kama alipewa tenda au alijitolea.

Kuhusu umri sijui inaingiaje maana najua wakati ule Yanga alikuwa Bingwa wakiwa na Abbas Gulamali.
 
Ungeanza Kwa kuuliza ilikuaje Pepe Kale atoe wimbo wa kuisifia Cameroon baada ya kutinga robo fainali ya world cup 1990.
Na kuwataja wakina Roger Miller, Emanuel Kunde, Fransis Omam Biyik , Seila Makanaky n.k?
 
Sasa umri ulihitaji wa nini wakati swali liko wazi nawewe unajua majibu!?
Watu bwana kwa kutaka kutukuzwa!!!
Tatizo watoto wa form One wapo humu mkuu, watoto wanasumbua unaweza ukamjibu hivi akaletà habari za kitoto ndio nlipomwambia umri ila alipojieleza kuhusu Abbas Gulamari boss wa Yanga wa kipindi hicho, ndipo nlipoona huyu ni mtu mzima sio wale watoto wasumbufu wa karne ya 20 kuja 21,
 
Huyo Abasi Gulamali si katajwa kwenye wimbo wenyewe hivyo kadesa tu huyo mtoto
 
Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?.

Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
Its simple. Unampa pesa hata wewe anakutungia wimbo. Mwanamuziki yeyote unaweza mwambia akutungie wimbo unampa pesa anakutunga.
 
Halafu Simba alikuwepo Azim Dewji,kipindi kile hakuna cha Fesibuku wala sijui Insta.
😃😃
 
Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?.

Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
Pepe Kale aliimba wimbo kusifia timu ya Cameroun ile ya Roger Miller, Makanaki, Biyiki, Nkono nk. Mwaka huo au uliofuata Yanga chini ya udhamini wa Gulamali enzi hizo mbunge wa Kilombero ilitwaa ubingwa wa CECAFA. Gulamali akampa tenda Pepe Kale kutunga wimbo wa pongezi kwa Yanga kwa hiyo alivuta pesa kwa kazi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…