Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninachotaka kujua ni kama alipewa tenda au alijitolea.Umri wako tafadhari maana inaonekana huo wimbo umetoka ukiwa wewe haujazaliwa umezaliwa kipindi hiki cha Yanga Tamu na Yanga Anthem (Sisi Ndio Yanga), umri wako mkuu
Ndio huyo sasa aliemwita Pepe Kale aiimbie wimbo Yanga lakini pia Pepe Kale alikua anaipeenda Yanga,Ninachotaka kujua ni kama alipewa tenda au alijitolea.
Kuhusu umri sijui inaingiaje maana najua wakati ule Yanga alikuwa Bingwa wakiwa na Abbas Gulamali.
Sasa umri ulihitaji wa nini wakati swali liko wazi nawewe unajua majibu!?Ndio huyo sasa aliemwita Pepe Kale aiimbie wimbo Yanga lakini pia Pepe Kale alikua anaipeenda Yanga,
Tatizo watoto wa form One wapo humu mkuu, watoto wanasumbua unaweza ukamjibu hivi akaletà habari za kitoto ndio nlipomwambia umri ila alipojieleza kuhusu Abbas Gulamari boss wa Yanga wa kipindi hicho, ndipo nlipoona huyu ni mtu mzima sio wale watoto wasumbufu wa karne ya 20 kuja 21,Sasa umri ulihitaji wa nini wakati swali liko wazi nawewe unajua majibu!?
Watu bwana kwa kutaka kutukuzwa!!!
Yanga waliupiga mwingi afrika mashariki na kati(kagame) pale Uganda,ukanda mzima ukawa yanga yanga yanga,lunyamila na kizota on fire hapo,timu limeeneaNinachotaka kujua ni kama alipewa tenda au alijitolea.
Kuhusu umri sijui inaingiaje maana najua wakati ule Yanga alikuwa Bingwa wakiwa na Abbas Gulamali.
Huyo Abasi Gulamali si katajwa kwenye wimbo wenyewe hivyo kadesa tu huyo mtotoTatizo watoto wa form One wapo humu mkuu, watoto wanasumbua unaweza ukamjibu hivi akaletà habari za kitoto ndio nlipomwambia umri ila alipojieleza kuhusu Abbas Gulamari boss wa Yanga wa kipindi hicho, ndipo nlipoona huyu ni mtu mzima sio wale watoto wasumbufu wa karne ya 20 kuja 21,
Ina andikwa Cyrille Makanaky alikua kiungo mshambuliaji wa Malaga na Cameroon.Seila Makendeki mkuu
Abbas Gulamali (RIP) ndiye anayejuaAnayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?.
Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
alilipwa na abbas gulamaliAnayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?.
Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
SwadaktaaaNdio huyo sasa aliemwita Pepe Kale aiimbie wimbo Yanga lakini pia Pepe Kale alikua anaipeenda Yanga,
Its simple. Unampa pesa hata wewe anakutungia wimbo. Mwanamuziki yeyote unaweza mwambia akutungie wimbo unampa pesa anakutunga.Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?.
Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
Wewe ushatungiwa nyimbo ngapi? Gani? na wasanii wap?Its simple. Unampa pesa hata wewe anakutungia wimbo. Mwanamuziki yeyote unaweza mwambia akutungie wimbo unampa pesa anakutunga.
Halafu Simba alikuwepo Azim Dewji,kipindi kile hakuna cha Fesibuku wala sijui Insta.Tatizo watoto wa form One wapo humu mkuu, watoto wanasumbua unaweza ukamjibu hivi akaletà habari za kitoto ndio nlipomwambia umri ila alipojieleza kuhusu Abbas Gulamari boss wa Yanga wa kipindi hicho, ndipo nlipoona huyu ni mtu mzima sio wale watoto wasumbufu wa karne ya 20 kuja 21,
Pepe Kale aliimba wimbo kusifia timu ya Cameroun ile ya Roger Miller, Makanaki, Biyiki, Nkono nk. Mwaka huo au uliofuata Yanga chini ya udhamini wa Gulamali enzi hizo mbunge wa Kilombero ilitwaa ubingwa wa CECAFA. Gulamali akampa tenda Pepe Kale kutunga wimbo wa pongezi kwa Yanga kwa hiyo alivuta pesa kwa kazi hiyo.Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?.
Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?