CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Pigia mstari kwenye KUPEWA TENDANinachotaka kujua ni kama alipewa tenda au alijitolea.
Kuhusu umri sijui inaingiaje maana najua wakati ule Yanga alikuwa Bingwa wakiwa na Abbas Gulamali.
Nyimbo nzuri lakini zinaharibiwa na timu bovuUmri wako tafadhari maana inaonekana huo wimbo umetoka ukiwa wewe haujazaliwa umezaliwa kipindi hiki cha Yanga Tamu na Yanga Anthem (Sisi Ndio Yanga), umri wako mkuu
Hii inasababu lakini kuimba team iliyobeba ligi kuu ya Tanzania ni kutumia nyimbo kinyume na maumbile ,Cameroon imefika robo fainali world cup Sasa yanga imefanya NiniUngeanza Kwa kuuliza ilikuaje Pepe Kale atoe wimbo wa kuisifia Cameroon baada ya kutinga robo fainali ya world cup 1990.
Na kuwataja wakina Roger Miller, Emanuel Kunde, Fransis Omam Biyik , Seila Makanaky n.k?
Bob mbona hupendi kutumia akili? Yaani hili nalo unaliona ni gumu? Nyie mbona hampendi elimu na kujua nambo simple tu. Msanii au mwanamuziki yeyote unampa pesa anakutungia wimbo. Mimi sijahitaji kutungiwa wimbo sioni haja. Wewe baba yako alikwambia ilikuaje Pepe Kalle aliimba, aliagizwa na mungu? 😂 Nyie ndo Hersi alisema mnashindia mihogo mnakuwa hamna akili.Wewe ushatungiwa nyimbo ngapi? Gani? na wasanii wap?
Usipende ujuaji kurahisisha mambo
Kitambo hicho kweli mkuu 1993, Facebook imefunguliwa 1999 kwenda 2000Halafu Simba alikuwepo Azim Dewji,kipindi kile hakuna cha Fesibuku wala sijui Insta.
😃😃
Izi game tuliziona laivu kupitia televisionYanga waliupiga mwingi afrika mashariki na kati(kagame) pale Uganda,ukanda mzima ukawa yanga yanga yanga,lunyamila na kizota on fire hapo,timu limeenea
Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?.
Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
Huna akiliUngeanza Kwa kuuliza ilikuaje Pepe Kale atoe wimbo wa kuisifia Cameroon baada ya kutinga robo fainali ya world cup 1990.
Na kuwataja wakina Roger Miller, Emanuel Kunde, Fransis Omam Biyik , Seila Makanaky n.k?
Balaa la kula mihogo?Balaa la yanga halijaanza leo....
Yanga tunaujua siku nyingi tuAnayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?.
Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
Ukiwanazo wewe yatosha.Huna akili
Kulisha watu mihogoBalaa la kula mihogo?
[emoji23][emoji23][emoji23] mbna mnamshambulia huyu mtoto kajitaidi Sana kuimtaja Abbas gulamaliHuyo Abasi Gulamali si katajwa kwenye wimbo wenyewe hivyo kadesa tu huyo mtoto
Aisee mnanifurahisha Sana hbr za yanga nazipenda haswaPepe Kale aliimba wimbo kusifia timu ya Cameroun ile ya Roger Miller, Makanaki, Biyiki, Nkono nk. Mwaka huo au uliofuata Yanga chini ya udhamini wa Gulamali enzi hizo mbunge wa Kilombero ilitwaa ubingwa wa CECAFA. Gulamali akampa tenda Pepe Kale kutunga wimbo wa pongezi kwa Yanga kwa hiyo alivuta pesa kwa kazi hiyo.