Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

Jenga we mzee acha ujinga
 
Wahindi matajiri zaidi ya umri huo wanaishi nyumba za kupanga.unasemaje hapo?
 
Kama umebahatika kujenga mshukuru Mungu, usidharau ambao hawajajenga hakuna Mtu anayependa shida.
 
Ushajenga chumba na sebule cha giza kamdomo kameanza..!! 😹😹

Ila kweli wajenge umri umewatupa mkono.🤣
 
Tatizo una akili za kitoto....wapo watu wananyumba zaidi ya 4 na wamepanga
 
Ushajenga chumba na sebule cha giza kamdomo kameanza..!! 😹😹

Ila kweli wajenge umri umewatupa mkono.🤣
Nyumba yenyewe haina hata zege la nondo na nguzo za nondo ..juu pati anapiga kelele siku kimbunga au tetemeko likitokea inageuzwa magofu.
 
Ahsante kwa kutufokea.
 
Wala sio wakishua, mpumbavu huyu, hawa ndo wale wanajenga Kisemvule wanafanya kazi Bunju, basi tu awe kajenga, Nyumba yenyewe paa fupi, joto, tabu tupu! Umaskini ni janga kubwa sana Tanzania, mwandishi ni maskini wa kutupa!
Jenga we mzee acha ujinga
 
Jenga we mzee acha ujinga
Watu wanapanga kwa sababu pia za position...mimi ninanyumba 7 ila nimepangisha na ninayo ishi mwenyewe siyo yangu nalipa kodi kwa sababu ya position ya kazi ....usidhani waliopanga flemu kkoo na kilipa hadi milioni 2 kwa mwrzi awawezi kujenga flemu mitaani tatizo position...pia kujenga kuna mahesabu ya uchumi wa taifa kwa tanzania wengi ni masikini sana hata wakijenga wana jenga uchafu tu siyo nyumba haswa ni kuchezea cement bure ...tatizo ni serikali pumbavu ya ccm watu walitakiwa kujenga kwa kutumia app za simu tu na serikali kutoa motisha ukinunu tatofari moja unapewa moja na serikali vyote vinafanyika kieletroniki kisha unapewa nyumba ...kwa sasa tz tunajenga slum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…