Ndiyo mkuu jamaa unaweza usimuone kwenye Uzi wowote ule hata kama ni mwezi mzima hawezi tia neno lolote lakini punde akiona Uzi una muhusu Mungu mwenyewe sijui huwa anahisi harufu yake humkoswi. Nadhani Kuna kitu alifanywa na Mungu ndio maana hawapataniMada kama izi kaka yangu Kiranga lazima aweke kambi
Binadamu anamuabudu Mungu bila kufundishwa, it a fact ambayo ipo proved na research mbalimbali, binadamu wote tunamuogopa Mungu it a fact Hadi atheist wanaosema hakuna Mungu likitajwa jina la Mungu involuntary miili Yao huogopa hii pia ni research imefanyika.Mpaka akue afundishwe ndipo amjue why?
Si kaumbwa na Huyo mungu shida ni nini? Mpaka afundishwe uwepo wake