Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

Faida yake ni kuokoa eneo.ukichomwa yatazikwa majivu ambayo huchukua kieneo kidogo.mimi natamani nipelekwe sayari ya venus

Afrika tuna uhaba wa maeneo. Kwani mtu akizikwa haozi. Miaka 100 badae bado takuwa hajakwisha akizikwa mtu mwingine hapo.
 
Wazungu na dini yao wengi wameamua kuchomwa na hiyo ni kwa sababu sio tu uhaba wa maeneo bali hata bei zinatofautiana
Kuzika ghali sana

Ila ni maamuzi ya mtu ingawa sio kawaida kwa wengine, ni kama wahindi

Na hao ni tofauti na sisi jinsi tunavyoishi kama familia ndugu jamaa initia ukakasi kwenda kumchoma ndugu yako hadi ateketee kama hao.
 
Na hao ni tofauti na sisi jinsi tunavyoishi kama familia ndugu jamaa initia ukakasi kwenda kumchoma ndugu yako hadi ateketee kama hao.
Hata mimi nisingekubali haya
Ila pia kumbuka duniani kuna mila nyingi na kuna hawa Tibetan wao ardhi yao ni mawe matupu hawana Pa kuzika kwa hiyo huwa wanakata nyama za Ndugu zao na kuwapa ndege aina ya Tai

Sasa fikiria ndugu yako anakatwa katwa na kutupiwa Tai huku ukiangalia
 
Ni noma sana mkuu
 
Soma majibu yangu yote kwenye huu uzi utaelewa nondo nilizoshusha zimejikita kisayansi au la.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Dah, eti soma majibu yangu yote😂😂😂
Kumbe hata hujui unachoongelea. Ujuaji mwingi.
Soma majibu yangu yote kwenye huu uzi utaelewa nondo nilizoshusha zimejikita kisayansi au la.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Hili la mtu kuchomwa baada ya kufa sio common sana kwa Afrika lakini kuna baadhi ya Waafrika eti akifa anachagua kuchomwa badala ya kuzikwa mwili mzima.

Mimi hii naiona kama cult kwa sababu hainiingia akilini kuona mtu anachagua kuchomwa, badala ya kuzikwa ambayo mwili mzima kama ilivyo asili yetu.

Ina sound kama satanic hivi ? na sijui utaratibu ukoje kwa viongozi wa dini Wakristu na Waislam huwa wanalichukulia vipi pale mmoja wa muumin wao anapochagua utaratibu huu wa kuchomwa au wengi wao wanakuwa ni Atheists. Hii hata tamaduni zetu za kimakabila zinakata kabisa.

Utajisikiaje au utachukuliaje mtoto wako au ndugu yako anapochagua kuwa cremated..?
Siku ukifa ndo utajua kwanini.
 
Back
Top Bottom