Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

Wewe ngumbaru.

Ukisema those, unasema cults.

Those cults. Not "those cult".

Jifunze Kiingereza kwanza kabla ya kubishana na mimi.

Hiyo inawezekana kuwa writing errors. Muhimu ni grammar and tense mzee. Na hata hivyo sio lugha yangu mama.
 
Wewe tatizo hujui Kiingereza na mambo haya hayajaandikwa sana kwenye Kiswahili.

Kwa hivyo kutokujua Kiingereza kwako tu kunakufanya uwe kama kinyama fulani hivi ambacho hakijafunguka akili bado.

Hata kukuelezea mambo ukaelewa inakuwa shida kwa sababu nakuwa kama najaribu kukifundisha kijusi fulani hivi hesabu za String Theory.

Nakupeleka ignore list hakuna tunachoweza kuongea unaharibu viwango vya maongezi tu.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
 
Wewe ni wakala wa hao mabeberu ndio maana unajinasibu na kiingereza.

Ila ukweli utabaki pale pale Muafrika kuchomwa baada ya kufa ni kinyume na tamaduni zetu na haina mantiki yoyote.
 
Wewe tatizo hujui Kiingereza na mambo haya hayajaandikwa sana kwenye Kiswahili.

Kwa hivyo kutokujua Kiingereza kwako tu kunakufanya uwe kama kinyama fulani hivi ambacho hakijafunguka akili bado.

Hata kukuelezea mambo ukaelewa inakuwa shida kwa sababu nakuwa kama najaribu kukifundisha kijusi fulani hivi hesabu za String Theory.

Nakupeleka ignore list hakuna tunachoweza kuongea unaharibu viwango vya maongezi tu.

Kuanzia hapa sitaona unachoandika.
Hii entitlement mliyonayo huwa inatokana na nini ?
 
Kama unaelewa exponential growth utaelewa inajaa vipi.
Hesabu zinadhihirisha theluthi ya ardhi ndiyo ina makazi ya watu na rasilimali vitu duniani kote, hizo swaga za kitoto umezitoa wapi?

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Basi theluthi mbili zilizobaki ni kwa ajili ya Kilimo, Utalii, Wanyamapori, Viwanda, na uchimbaji madini.
Au hutaki kula ??
 
Huwezi kusadiki tuu, bila kwa na msingi wa neno la kweli. Acha kuibuka kama manabi feki. Sikiliza video wa Mhashamu sana Askofu Mkuu JudeThadeus Ruwa'ichi juu ya manabii feki.

Unajiita Baba Mtakatifu alafu unakuwa na mafundisho potofu eti mwili kama ukuta.
Read the apparition of Jesus christ to Emmaus, Marry Margallen, All disciples utanielewa namanisha nini
 
Duh.... mtu mfu hajui neno lolote... ila sio mbaya kama mtu amechagua kuchomwa akifa hakuna shida!!! kikubwa awe ametubu na kuiamini injili
Hakuna injili inayosema maiti ichomwe.
Hii ni iman za Hinduism au Buddhism kwa madai ya kumukomoa Mungu
 
Back
Top Bottom