Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
- Thread starter
- #101
Acha roho mbaya mkuu, funza, sisimizi na wadudu wa ardhini wale wapi? Hata uzalishwaji wa fossils upatikane vipi?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Si ndio hapo mkuu haelewi juu ya ecosystem analeta ubinafsi wakuchomwa kama yeye ni panya au nyoka.