Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Yaani nione mwili wa mpendwa wangu ulee unateketea kwa moto, siwezi kuvumilia. Mimi hata kuzika tu huwa napata tabu huwa najiuliza vipi kama hajafa?tofauti kubwa ni ipi hasa
Yaani nione mwili wa mpendwa wangu ulee unateketea kwa moto, siwezi kuvumilia. Mimi hata kuzika tu huwa napata tabu huwa najiuliza vipi kama hajafa?tofauti kubwa ni ipi hasa
naam kwakweli inahitaji uzoefu kiasiYaani nione mwili wa mpendwa wangu ulee unateketea kwa moto, siwezi kuvumilia
Mapori ni mengi sana mkuu ila binadamu tu ndiyo tumekuwa wabinafsi kupitiliza.Tatizo si ecosystem, tatizo ni tamaduni.
Unishasema hili ni kaburi langu asije kuzikwa mtu mwingine hapa, ushachukua nafasi kinyume na kanuni za ecosystem za kuachiana nafasi.
Umeona na wewe?naam kwakweli inahitaji uzoefu kiasi
Unajipa umuhimu usio nao.
Hakuna mtu anaye infiltrate chochote kwenye habari ya kuzikwa kwako.
Ndiyo maana mpaka sasa idadi kubwa ya Watanzania bado wanazikana.
Walipotaka ku infiltrate tamaduni zenu zote washamaliza kwa Ukristo na Uislamu. Mpaka unaona dini hizo ndiyo utamaduni wako. Wakati wengine mlikuwa hata hamziki kwenye tamaduni zenu, mqmbo ya kuzika mmeyakuta kwenye dini mlizoletewa kwa meli.
Yani wewe unaweza kuona unazika kwa utamaduni wako, kumbe unazika kwa Ukristo na Uislamu, utamaduni wako hata huujui.
Na wanaoamua kuchoma ni wachache.
Kwa sababu za kiutamaduni, kwa sababu ya kutotaka kuchujua nafasi. Na kadhalika.
Kuna watu kama Askofu Desmond Tutu, mtu makini, msomi, Askofu wa Anglikana, kapigania uhuru Aftika Kusini, aliacha wosia akifa azikwe majini kwa kutumia equamation. Na akazikwa hivyo.
Hiyo si cult, huyu ni Askofu wa Anglikana.
Ila kwa wabongo wanaopenda kuungaunga habari hapo watasema cult.
Angalia hata bahari ambavyo huwa inasafisha kila aina ya wafu na uchafu wowote kisha kuwa safi kila siku, Mungu ni fundi sana mkuu.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
naam bila shaka hata hili tukio la kufukia tu ni kwa sababu limezoelekaUmeona na wewe?
Wamelazimishwa kuishi papo hapo? Mapori yamejaa tele duniani kwanini walazimishe kubanana sehemu moja tu?pale tokyo ukisema watu wazike kwa kufukia , miili itatupwa barabarani
vipi kuhusu matetemeko?Kabisa aliratibu mambo sawasawa kabisa ila mwanadamu ajidai anataka kwenda tofauti.
mkuu unaweza kupeleka watu wangapi kwa mwezi marekani na canada ? vijana wanauwezo mkubwa sana wa kufyeka maporiMapori yamejaa tele duniani kwanini walazimishe kubanana sehemu moja tu?
Alafu cremation sio lazima mtu achomwe kwa moto ila kuchomwa kwa moto ni Aina ya cremation inayoitwa Flame-based cremation ambapo mwili huwekwa kwenye cremation chamber na kuchomwa kwa joto la 700°c mpaka 1000°c kwa afrika hii ni rahisi sababu ya nyenzo zilizopo Aina ya pili ni Alkaline hydrolysis / Water cremation hapa mwili huwekwa kwenye maji yaliyochanganywa na potassium hydroxide ambapo tishu laini huyeyushwa inabaki mifupa ambayo husagwa mpaka yawe majivu, Aina ya tatu ni Cryomation (freeze-drying cremation) hii inatumia kioevu cha nitrogen kufanya mwili kuwa mgumu then unafanyiwa vibration kuu unja vunja vipande vipande na aina ya mwisho ambayo bado inafanyiwa majaribio ni Promession apa mwili hukaushwa kwa baridi kali sana na kuvunjwa vunjwa kwa powder hii inasemekana ni nzuri zaidi kwa mazingira, hivo basi mtu anayependelea cremation Ana machaguo mengi sana kama anaogopa moto basi atachagua njia nyingine, pia cremation ni maamuzi binafsi ya mtu ni lazima yaheshimiwe
Wewe una elimu ndogo ya dunia tu.Makabila yetu mengi yalikuwa yanazika kwa namna tofauti lakini still mwili unaenda ardhini. Dini zilileta utaratibu uliobora kutokana na tamaduni za huko sio mbaya kwa sababu still ni kwenye ardhi.
Sasa kama sio cult kama hata huko toka enzi wanazikana huu utaratibu wa kuchomana unatoka wapi?
Huyo Askofu Desmund Tutu pamoja na kuwa Askofu wa Anglikana bado anaweza kuwa kwenye Cult.
Wewe unaona ni sawa kuzikwa kwenye maji kweli yaani hata haiingi akilini.
Asante sana mkuu umeeleza vemaNi Kikundi cha watu wenye mtazamo na imani kali ambapo miongoni mwa waamini hatakiwi kukiuka imani.
Na wote huongozwa na mtu mmoja mwenye ushawishi na kusikilizwa.
NB: mwanachama anatakiwa kufwata kwa nguvu sheria na imani endapo ataonekana anataka kukiuka.
Ishu si kufyeka bali ni kujaza maeneo yaliyo wazi kimakazi na wawepo watu wanaoendana na rasilimali vitu si kurundika rasilimali vitu pasipokuwa na balansi ya watu kusimamia na kuendesha.mkuu unaweza kupeleka watu wangapi kwa mwezi marekani na canada ? vijana wanauwezo mkubwa sana wa kufyeka mapori
Kwa nini unafikiria mapori yote lazima yajazwe na binadamu??Afrika mapori kibao hayawezi kujaa leo wala kesho.
vipi kuhusu matetemeko?
Fungua uzi wa mada ya matetemeko ili tuje tuchangie mkuu.vipi kuhusu matetemeko?
Huo ni msemo tu kama wa kwenye KhangaAsante mkuu karibu katika Kanisa moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume.