Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
- Thread starter
- #181
Wewe ni mjinga. Una superiority compkex kwa dini iliyokufanya wewe mtumwa.
Hao Wakatoliki ni cult lililohalalisha na lililoendeleza utumwa, wamesaidia ndugu zako watu weusi kuwa watumwa.
Hao Wakatoliki wanasaidia watawa wao kubaka watoto.
Ukiwaita wenzako wako kwenye cult na wao wanakuona hivyo hivyo.
Huyo Mungu unayesema yupo hujathibitisha yupo, acha kukariri Mungu yupo.
Thibitisha yupo.
Mungu haitaji kuthibitishwa kwamba yupo. Kutaka kumthibitisha kuwa yupo tayari unakuwa una legalega katika imani.
Kama cremation sip cult mbona ni watu wa hadhi fulani ambao tamuduni yao ni kuzika ila wao wanachagua hivyo na wakati wanajua wazi ndugu zao hii cremation haendani nao.