Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

Unakijua kisa cha ndugu wawili, watoto wa nabii Adam?

Mmoja alipomuua mwenzake,alifundishwa kuzika na kunguru,Wala siyo kuchoma maiti.
 
Basi theluthi mbili zilizobaki ni kwa ajili ya Kilimo, Utalii, Wanyamapori, Viwanda, na uchimbaji madini.
Au hutaki kula ??
Nataka ila nikifariki niwe faida kwa viumbe vya ardhini kuwa mnofu wao, nioze nifanyike faida kuzalishwa fossils jinsi ninavyonufaika na miti na ardhi sasa hivi.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Hakuna injili inayosema maiti ichomwe.
Hii ni iman za Hinduism au Buddhism kwa madai ya kumukomoa Mungu

Unaona sasa kumbe ndio maana na imani yao alafu mtu anaibeba kutuletea huku.

Ni Cult kweli eti wamkomoe Mungu 🤣🤣
 
Unakijua kisa cha ndugu wawili watoto wa nabii Adam
Mmoja alipomuua mwenzake... kuunguru alifundisha kuzika Wala siyo kuchoma maiti

Kabisa, kuchoma inaenda kinyume na nature kabisa.

Hata mnyama akifa tuna mfukia ni wanyama katili kama nyoka ndio watu huwa wana mchoma kwanza kwa watu wapendi nyoka.
 
Yaani nione mwili wa mpendwa wangu ulee unateketea kwa moto, siwezi kuvumilia. Mimi hata kuzika tu huwa napata tabu huwa najiuliza vipi kama hajafa?

Kabisa kuona unateketea kwa moto si jambo dogo ni kujitengenezea roho za kikatili sana.
 
Mimi kuchomwa sioni shida ila mzazi au ndugu yangu kuchomwa? Over my dead body

Inahitaji roho ngumu ya kiwango cha PhD kukubali ndugu yako kisa amefariki eti akachomwe moto. Mwili unateketea. Hapana aise.
 
Unakijua kisa cha ndugu wawili, watoto wa nabii Adam?

Mmoja alipomuua mwenzake,alifundishwa kuzika na kunguru,Wala siyo kuchoma maiti.
Hizo ni hadithi za fiction tu.
Uhindu dini ya kale zaidi kuliko dini ya Kiyahudi ya Adam na Hawa na waumini wake wamekuwa wanachoma maiti moto.
 
Thibitisha wachawi waliwahi kula maiti gani kwa ushahidi wa dhahiri.

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Mambo ya uchawi ni mambo ya kiroho na siyo ishu za physical. Sasa unataka nikuthibitishieje mambo ya kiroho katika ulimwengu wetu huu? Acha ujuaji.
 
Faida yake ni kuokoa eneo.ukichomwa yatazikwa majivu ambayo huchukua kieneo kidogo.mimi natamani nipelekwe sayari ya venus
 
Wazungu na dini yao wengi wameamua kuchomwa na hiyo ni kwa sababu sio tu uhaba wa maeneo bali hata bei zinatofautiana
Kuzika ghali sana

Ila ni maamuzi ya mtu ingawa sio kawaida kwa wengine, ni kama wahindi
 
Back
Top Bottom