Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

Wewe una elimu ndogo ya dunia tu.

Hujui tamaduni za sehemu nyingi watu wanachoma?

Hujui hao wazungu waliokuleteeni Ukristo nao wanachoma?

Hujui kwamba tukianza kujadili cults hata hizo dini mnazoziamini nazo mimi nikitaka kuziita cults naweza?

Kinachotofautisha dini na cult ni nini zaidi ya namba ya watu na miaka tu?

Unajua kuwa hata hizo dini zenu zilivyoanza zilikuwa zinaitwa cults?

Unajua hizo tamaduni zako nazo kuna watu wanaziona cults tu?

Sasa unapojiona uko beyond cults, wewe mwenyewe unajuaje haupo katika cult uliyoikubali tu kuwa ni dini yako au utamaduni wako?

Unaelewa kwa nini neno la utamaduni kwa Kiingereza, "culture", linaanza na "cult"?

Unajua kwa nini kwenye Kiswahili neno "ustaarabu" linataja "arabu"?
Naelewa kuna wanaochoma kama tamaduni yao, hao baniani na wengine mimi naona ni pagans

Wazungu kuchoma imekuja badae na sio kwa ukubwa huo na ndio hao wapo kwenye hiyo cult na wamachama wao huku Afrika.

Mbona mtu wa kawaida huku Afrika hachagui kuchomwa ni wale tu waliokuwa na exposure ya huko nje huo ni cult.
 
Waliokufa hawana hijara / ushirika kati ya walio hai .. mtu anikumbushe ni mstari gani kwenye biblia..
Afu ishu ya kuzikwa udongoni au kuchomwa moto kwa marhemu .. ni tamaduni za jamii husika..
Kwa mfano maziko ya wafalme walioitawala misri yaani mafarao walikuwa wanafanyiwa mummification.. na ndio yake ma piramidi tunayaona kule karibia na mto naili
 
Wwnzetu sometimes ardhi huwa inaganda inakuwa haichimbiki. Wakaamua kuchomana. Ila kuwe na kuni za kutosha, si kuchomana nusu nusu kama wahindi.

Maiteki. Kuchomana kuzuri kuliko kuzikana kwenye majeneza. Kunaokoa ardhi, pia maiti zilizozikwa zinatabia ya kuchafua maji ya chini ya ardhi.
Nimekuelewa sana Hoja yako
 
Naelewa kuna wanaochoma hao baniani n wengine mimi naona ni pagans

Wazungu kuchoma imekuja badae na sio kwa ukubwa huo na ndio hao wapo kwenye hiyo cult na wamachama wao huku Afrika.

Mbona mtu wa kawaida huku Afrika hachagui kuchomwa ni wale tu waliokuwa na exposure ya huko nje huo ni cult.

Unaonekana hujaelimika vya kutosha. Umekosa cultural awareness.

Neno "pagans" kama ulivyolitumia hapa, ni neno offensive, ni tusi, kifupi ni neno linaloonesha ujinga wako.

Ni neno la kikoloni lililotumika na dominant culture, hususan wazungu wakristo, kuwabagua, kuwadogosha na kuwanyanyapaa watu wa tamaduni tofauti na wao.

Katika dunia ya leo, watu waliosoma na kuelimika, wameacha kulitumia kama unavyolitumia hapa.

Yani ukikaa na watu wenye ma PhD ya sociology na anthropology halafu ukalitymia neno hilo hivyo, wote wataangakiana na kujua hapa tumekaa na country bumpkin ambaye hajaelimika na hajajua kuwa hili neno kulitumia hivi ni kuwa offensive na ignorant.

Kwa sababu, kiukweli, hao unaowabagua, unaowanyanyapaa kwa kuwaita pagans, na wao wakitaka kujipa superiority, watakuita na wewe pagan kutoka mtizamo wa imani yao, kwa sababu huamini sawa nao.

Na unawaita pagans mostly bila kuwajua, hujasoma Bhagavad-Gita, hujqsoma The Uppanishads, hujasoma The Sitras, hujasoma Dhamapada. Una kasumba ya kubagua watu kwa superiority ya ujinga tu.

Most probably unajua ulichorithi kwa wazazi wako tu.

Kwa hiyo huu ni ujinga wa kujipa umuhinu usio nao tu, ni superiority complex ya kijinga tu. Nikikubana uthibitishe dini yako ndiyo ya kweli na yao si ya kweli huwezi kuthibitisha hilo.

Nimekuuliza hapo juu unapoita imani za watu cults, cult ni nini, na kwa nini wewe mwenyewe unafikiri haupo katika cult?

Hujajibu.
 
Nimekuelewe na umechambua vema lakini kani sehemu alipozikwa mtu baada ya miaka mia moja kuna shida gani akizikwa hapo mwingine...?

Nakubaliana na kuchukua vya wengine lakini visivyofaa au vinavyokinzana tamaduni na taratibu zetu si vema kuzichukua.

Vipi huko ughaibuni ulipo ni asilimia ngapi wanachomwa....?
Taratibu zetu, wewe na nani?

Kwa nini unaona utaratibu wako wa kuzika watu ndio unapaswa ufuatwe na kila mtu?

Kwa nini huoni kwamba kila mtu ana taratibu yake ya kuchagua na kuamua mambo?

Hata mtu akiamua kuchomwa ni maamuzi na utaratibu wake aliochagua yeye.

Kwa nini wewe uingilie utaratibu wa wengine?
 
Waliokufa hawana hijara / ushirika kati ya walio hai .. mtu anikumbushe ni mstari gani kwenye biblia..
Afu ishu ya kuzikwa udongoni au kuchomwa moto kwa marhemu .. ni tamaduni za jamii husika..
Kwa mfano maziko ya wafalme walioitawala misri yaani mafarao walikuwa wanafanyiwa mummification.. na ndio yake ma piramidi tunayaona kule karibia na mto naili

Sasa tamaduni zetu za Afrika Mashariki toka kale tunachoma kwani
 
Unaonekana hujaelimika vya kutosha. Umekosa cultural awareness.

Neno "pagans" kama ulivyolitumia hapa, ni neno offensive, ni tusi, kifupi ni neno linaloonesha ujinga wako.

Ni neno la kikoloni lililotumika na dominant culture, hususan wazungu wakristo, kuwabagua, kuwadogosha na kuwanyanyapaa watu wa tamaduni tofauti na wao.

Katika dunia ya leo, watu waliosoma na kuelimika, wameacha kulitumia kama unavyolitumia hapa.

Yani ukikaa na watu wenye ma PhD ya sociology na anthropology halafu ukalitymia neno hilo hivyo, wote wataangakiana na kujua hapa tumekaa na country bumpkin ambaye hajaelimika na hajajua kuwa hili neno kulitumia hivi ni kuwa offensive na ignorant.

Kwa sababu, kiukweli, hao unaowabagua, unaowanyanyapaa kwa kuwaita pagans, na wao wakitaka kujipa superiority, watakuita na wewe pagan kutoka mtizamo wa imani yao, kwa sababu huamini sawa nao.

Na unawaita pagans mostly bila kuwajua, hujasoma Bhagavad-Gita, hujqsoma The Uppanishads, hujasoma The Sitras, hujasoma Dhamapada. Una kasumba ya kubagua watu kwa superiority ya ujinga tu.

Most probably unajua ulichorithi kwa wazazi wako tu.

Kwa hiyo huu ni ujinga wa kujipa umuhinu usio nao tu, ni superiority complex ya kijinga tu. Nikikubana uthibitishe dini yako ndiyo ya kweli na yao si ya kweli huwezi kuthibitisha hilo.

Nimekuuliza hapo juu unapoita imani za watu cults, cult ni nini, na kwa nini wewe mwenyewe unafikiri haupo katika cult?

Hujajibu.

Mimi sipo kwa cult kwa sababu Imani yangu Katoliki route yake inazanzia kwa Yesu mwenyewe.

Hizo dini za huko Asia nyingi hazieleweki na ndio maana sio kosa kuita ni Pagans.

Kwa hiyo Wazee wetu walichagua baadhi ya mambo mazuri toka kwa wazungu wakaenda nayo yale mabaya wakayaacha na hata Wazungu walikuwa makini sio mambo yote ya kwao waliyaleta kipindi kile. Ni sasa tuu kwa sababu ya utandawazi.
 
Utamaduni wa Kitanzania toka zamani kwenye makabila yetu uliona nani anachoma.
Kwa nini zamani iwe ndio kipimo cha utamaduni?

Zamani sio kipimo cha utamaduni.

Kuzika watu ardhini sio utamaduni wa kitanzania tu.

Hata mataifa mengine wanazika watu wao ardhini.

Na hata wanyama wakifa huzikwa ardhini

Kuzika mtu ardhini sio jambo la utamaduni wa Tanzania tu.

Na hata mtu akichagua kuchomwa ni utaratibu wake.
 
Mimi sipo kwa cult kwa sababu Imani yangu Katoliki route yake inazanzia kwa Yesu mwenyewe.

Hizo dini za huko Asia nyingi hazieleweki na ndio maana sio kosa kuita ni Pagans.

Kwa hiyo Wazee wetu walichagua baadhi ya mambo mazuri toka kwa wazungu wakaenda nayo yale mabaya wakayaacha na hata Wazungu walikuwa makini sio mambo yote ya kwao waliyaleta kipindi kile. Ni sasa tuu kwa sababu ya utandawazi.
Hiyo imani hako inayoanzia kwa Yesu huwezi kuthibitisha ni ya ukweli zaidi ya hizo imani nyingine.

Huwezi kuthibitisha Mungu wa Ukristo yupo kweli na si wa kutungwa na watu walioanzisha cult tu.

Kama unabisha, thibitisha Mungu wa Ukristo yupo kweli.

Tena mtu anaweza kusema nyie Wakatoliki ni cult la kuwabaka watoto mnawalinda watawa wanaobaka watoto.
 
Kwa nini zamani iwe ndio kipimo cha utamaduni?

Zamani sio kipimo cha utamaduni.

Kuzika watu ardhini sio utamaduni wa kitanzania tu.

Hata mataifa mengine wanazika watu wao ardhini.

Na hata wanyama wakifa huzikwa ardhini

Kuzika mtu ardhini sio jambo la utamaduni wa Tanzania tu.

Na hata mtu akichagua kuchomwa ni utaratibu wake.
Hiyo ya kuchomwa inaenda kinyume na asili
 
Hiyo imani hako inayoanzia kwa Yesu huwezi kuthibitisha ni ya ukweli zaidi ya hizo imani nyingine.

Huwezi kuthibitisha Mungu wa Ukristo yupo kweli na si wa kutungwa na watu walioanzisha cult tu.

Kama unabisha, thibitisha Mungu wa Ukristo yupo kweli.

Tena mtu anaweza kusema nyie Wakatoliki ni cult la kuwabaka watoto mnawalinda watawa wanaobaka watoto.

Kuchoma ni Cult mkuu tu stick kwenye hoja hii ndio maana mtu mwenye utimamu hawezi kuchagua hii.

Kusema juu ya Watawa kwani kwenye community hayo mambo hayapo ? ni tabia ya mtu na sio generalisation.

Mungu yupo jana, leo na hata milele.
 
Wewe ni mjinga. Una superiority compkex kwa dini iliyokufanya wewe mtumwa.

Hao Wakatoliki ni cult lililohalalisha na lililoendeleza utumwa, wamesaidia ndugu zako watu weusi kuwa watumwa.

Hao Wakatoliki wanasaidia watawa wao kubaka watoto.

Ukiwaita wenzako wako kwenye cult na wao wanakuona hivyo hivyo.

Huyo Mungu unayesema yupo hujathibitisha yupo, acha kukariri Mungu yupo.

Thibitisha yupo.
 
Back
Top Bottom