Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

Hivi inakuaje mtu anachagua akifa achomwe (Cremation) mimi huwa naona kama ni Cult

Kwani Afrika tuna uhaba wa maeneo ya kuzikia. Lakini pia process ya decomposition ina manufaa kwenye udongo food chain.

Mimi hapana aise, kuzika ni utaratibu mzuri sio huo wa kuchoma unatisha.
Unatishaje wakati tayari umeshakufa mda huo? Shughuli za kibinadamu zinazidi kukua watu wanazidi kuongezeka sehemu Leo unayoiona ni pori baada ya miaka kadhaa itakuwa either ni apartment, hospital nk, hivyo space itakuja kuwa limited na cremation itakuwa mbadala wa normal burial
 
Wwnzetu sometimes ardhi huwa inaganda inakuwa haichimbiki. Wakaamua kuchomana. Ila kuwe na kuni za kutosha, si kuchomana nusu nusu kama wahindi.

Maiteki. Kuchomana kuzuri kuliko kuzikana kwenye majeneza. Kunaokoa ardhi, pia maiti zilizozikwa zinatabia ya kuchafua maji ya chini ya ardhi.
 
Inatisha waliobaki
Bado hatuna uhaba wa maeneo ya kuzika na sio mbaya hata kma tutafukua na kuzika mtu mwingine ila sio kuchomwa.

Mkuu hata mtu akifa bado utu wake una heshiwa na lazima sio kwa kuwa amekufa iwe basi.
 
Wwnzetu sometimes ardhi huwa inaganda inakuwa haichimbiki. Wakaamua kuchomana. Ila kuwe na kuni za kutosha, si kuchomana nusu nusu kama wahindi.

Maiteki. Kuchomana kuzuri kuliko kuzikana kwenye majeneza. Kunaokoa ardhi, pia maiti zilizozikwa zinatabia ya kuchafua maji ya chini ya ardhi.

Mmh ulishahudhuria zoezi la uchomaji maiti...? huoni kama ni la kikatili against human nature.
 
Binafsi napendelea cremation, hata nikifa kesho au keshokutwa ningependelea cremation, majivu hata wakitupa mtoni siyo mbaya, mtu ukishakufa unareturn kwenye non existence, neuronal activity za kwenye brain ziki shut down , moyo ukastop na Kila organ ikafa hausikii chochote hata wakinichoma haitanisumbua, kuzika kwa makaburi kunakula nafasi sana, miaka inavyoenda tutakosa sehemu za kuzikia.
Nzuri sana hiyo, mambo ya kuliwa na wachawi mara kufufuka yanakuwa hayapo tena
 
Miaka kadhaa ya mbeleni hakuna kuzikana ..hata Madarasa au hospital wanayoyajenga ya L,U wanapoteza mda mbeleni watalazimika kujenga ghorofa
.hata kwa dar Barbara za mwendokasi siyo suluhisho ..soon mambo ni mbombo ngafu
 
Hili la mtu kuchomwa baada ya kufa sio common sana kwa Afrika lakini kuna baadhi ya Waafrika eti akifa anachagua kuchomwa badala ya kuzikwa mwili mzima.

Mimi hii naiona kama cult kwa sababu hainiingia akilini kuona mtu anachagua kuchomwa, badala ya kuzikwa ambayo mwili mzima kama ilivyo asili yetu.

Ina sound kama satanic hivi ? na sijui utaratibu ukoje kwa viongozi wa dini Wakristu na Waislam huwa wanalichukulia vipi pale mmoja wa muumin wao anapochagua utaratibu huu wa kuchomwa au wengi wao wanakuwa ni Atheists. Hii hata tamaduni zetu za kimakabila zinakata kabisa.

Utajisikiaje au utachukuliaje mtoto wako au ndugu yako anapochagua kuwa cremated..?
Kwa nini asili yenu iwe ndiyo ya kufuatwa na kila mtu, kila siku?

Wewe unavyoishi kwa kutumia vitu vingi ambavyo Africa imevipata kutoka kwa wageni, sayansi na teknolojia, utaacha kuvitumia kwa sababu si vya asili yenu Africa tu?

Huu mtandao ni wa asili yenu Africa?

Ukiambiwa urudi kufanya mawasiliano ya asili yenu Africa, ya kuwasiliana kwa sauti za ngoma na moshi, uache internet kwa sababu si ya asili yenu Africa, utakubali?

Mfano, ikionekana kuwa kuchoma maiti ni bora kuliko kuzika na kunatunza vizuri zaidi ardhi kwa vizazi vijavyo, watu wakiendelea kuzikana tu dunia nzima itakuwa makaburi, au makaburi yatachukua sehemu kubwa sana na kunyima watu sehemu ya kuishi, bado utaona kuchoma maiti moto ni jambo baya?
 
Back
Top Bottom