Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
- Thread starter
- #81
Umagharibi upi?
Huo utamaduni wa kuchomana ni asili ya muafrika hiyo.
Umagharibi upi?
Injili ni ubatili mtupu 😁
😁Cult ni nini ?
Injili ni nini?Huamini Injili ?
Injili ni nini?
Kama unajali sana tamaduni na asili ya afrika, kwenye ibada asili ya mwafrika ni kuabudu mizimu.Kinyume na hata tamaduni zetu. Kawaida sisi wa Afrika tunazika hatuchomi.
Mimi Sina undugu na Yesu, habari zake hazina umuhimu kwangu.Injili ni vitabu vinavyozungumzia habari za Yesu na ufalme wa Mbinguni.
Injili ni habari njema kwako wewe. Unapaswa kuimini ili uongoke.
Kama unajali sana tamaduni na asili ya afrika, kwenye ibada asili ya mwafrika ni kuabudu mizimu.
Mimi Sina undugu na Yesu, habari zake hazina umuhimu kwangu.
Yesu siyo asili yangu Mimi
Wacha weeeeh.... Mnatumia kitabu gani?Ni nyie ndio mna amini mtu akishakufa amekufa ila sisi Wakatoliki hatuamini hivyo.
Nimeulizia umagharibi wa wapi? Kuna tamaduni nyingi za kiafrika tumeacha. Zamani hata machifu wakifa walikuwa wanazikwa na mtu hai. Unafahamu? Baadhi ya tamaduni.Huo utamaduni wa kuchomana ni asili ya muafrika hiyo.
Wacha weeeeh.... Mnatumia kitabu gani?
Sawa mkuu, Kila la heriNaendeleza tamaduni zilizo njema huku naichuchumilia Injili na imani yangu Katoliki.
Wamakabayo wanakuhusu vipi wewe Mmakonde?Biblia soma kitabu cha Wamakabayo.
Nimeulizia umagharibi wa wapi? Kuna tamaduni nyingi za kiafrika tumeacha. Zamani hata machifu wakifa walikuwa wanazikwa na mtu hai. Unafahamu? Baadhi ya tamaduni.
Acha roho mbaya mkuu, funza, sisimizi na wadudu wa ardhini wale wapi? Hata uzalishwaji wa fossils upatikane vipi?Binafsi napendelea cremation, hata nikifa kesho au keshokutwa ningependelea cremation, majivu hata wakitupa mtoni siyo mbaya, mtu ukishakufa unareturn kwenye non existence, neuronal activity za kwenye brain ziki shut down , moyo ukastop na Kila organ ikafa hausikii chochote hata wakinichoma haitanisumbua, kuzika kwa makaburi kunakula nafasi sana, miaka inavyoenda tutakosa sehemu za kuzikia.
Sawa mkuu, Kila la heri
Biblia soma kitabu cha Wamakabayo.
Asante mkuu karibu katika Kanisa moja, Takatifu, Katoliki na la Mitume.
Wamakabayo wanakuhusu vipi wewe Mmakonde?